Maajabu! Wezi wakata mauno usiku kucha wakiwa uchi baada ya kuiba gari

Wewe unajuaje kwamba haupo?
Wapi nimesema kwamba haupo?

Kama nimeuliza uchawi ni nini ina maana sielewi ni kitu gani, nitawezaje kusema kitu ambacho sikielewi hakipo?

Hujajibu maswali.

Uchawi ni nini?

Unajuaje kwamba upo na si hadithi tu?

Sent from my Kimulimuli
 
Wapi nimesema kwamba haupo?

Kama nimeuliza uchawi ni nini ina maana sielewi ni kitu gani, nitawezaje kusema kitu ambacho sikielewi hakipo?

Hujajibu maswali.

Uchawi ni nini?

Unajuaje kwamba upo na si hadithi tu?

Sent from my Kimulimuli
Si umesema huamini.
 
Aisee. Badala ya kusikitika nimejikuta nawaonea huruma.

Ila wamepata funzo na kama wana akili hawatorudia tena mana kukaa uchi mbele ya umati sio jambo dogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom