Maajabu: UVCCM Kigoma waomba kibali kuandamana kuishinikiza Uhamiaji kuchunguza uraia wa Ndugu Zitto Kabwe - Mbunge

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,928
6,467
Kama inavyonekana kwenye hii barua ndivyo hali ilivyo huko UV - CCM Kigoma. Hivi tutaendelea na hii Kasumba/Silaha ya kila mkosoaji sio Raia wa hii nchi mpaka lini? Vijana tuwaze kujenga hii nchi na sio kuibomoa
49573784_1162200207290953_7319941113651920896_o.jpg
 
Augustino Matefu ni Mshenzi sana,ni mchumia tumbo,kuna kipindi aliact kama Mpemba kwenye mdahalo kuwasilisha maswala ya muungano,aliact kama mtu wa pemba ambaye anaupenda muungano sana!!
Mheshimiwa Zitto upo utuambie wewe ni raia wa wapi? Augustino anakutafuta sana
 
Akili kama hizi na mawazo kama haya ndio sababu ya mimi mpaka leo kuona kinyaa kujiunga CCM. Huwa naona bora nikae mbali na siasa kuliko kuwa chama kilicho na watu wenye mawazo kama haya.

Zitto huyu huyu wa Buzwagi achunguzwe uraia wake lakini JPM aliyeuza nyumba za serikali ni mtanzania halisi na mzalendo namba moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom