Maajabu Tanzania

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
Mwenyekiti wa chama Tawala (CCM) Kumteua mwenyekiti wa chama cha upinzani (NCCR Mageuzi) kuwa mbunge inamaanisha nini?
je Mbatia atakaa kambi gani bungeni?

I love Tanzania bses is the only county with supprises.
 
namkumbuka sana Chief mangungo wa na machifu wengine wote,utawala ule ulikuwa bora sana sio wa hawa kenge hawajui wapi wanatupeleka
 
KUNA COMMENTS ZINGINE NIMEZISOMA HAPA JF KUHUSU MATAKWA YA DAUDI KAMERUNI

Re: Maswali ya kichokozi.
quote_icon.png
By dudus
Ha ha ha ha ha ha ha! Au ndio utekelezaji wa masharti ya Cameroon? Si unajua kuna vuguvugu kali sana likichagizwa na mataifa makubwa kwamba haki za wale jamaa zitambuliwe hadi kwenye vyombo vikuu vya maamuzi ya nchi kama sharti mojawapo la kupewa misaada? Unafikiri hali ya kiuchumi ilivyo bila misaada kuna kitu?

Mimi nina mashaka sana na hii tekniki aliyotumia JK kuwafumba macho wazungu kwamba Tz inaheshimu sana haki zao - tazameni hata mjengoni wamo! Wallahi tumikwisha! Huu umaskini utakuja tufikisha pabaya bandugu. Haki ya mama tutaanza kusikia miswada ya kise*** mjengoni.








MMMM KAMA NI KWELI MCHAGUAJI NA MCHAGULIWA - TANZANIA TUME KWISHA
 
Wanasiasa vigeugeu hata mbatia kigeugue hahahahah tumwamini nani tumwache nani.......
 
Ni utekelezaji wa maagizo ya David Cameron, hakula jipya hapo...
 
Zile zile siasa za jimboni kawe zimeletwa na kuanzishwa upya hapa JF, tunahitaji muda mfupi kupita then tutajua lengo na shabaha la Ubunge wa kupewa wa Mbatia.
Kismati kimeingia kwenye ukoo wao, dada mbunge EALA, Ndelakindo Kessy then kaka mbunge asiye na jimbo.
 
alikua mwenyekiti nccr ili apate ruzuku tu but amekwisha kisiasa...ndo mana hata ubunge hakuupata
 
kunatetesi kwamba jamaa i mean Mbatia ni kibaraka toka enzi zile hivyo hii ni kama thanx giving vile najua jamaa atakua amefurahi si mnajua hana dili la kumpa kipato (according to Hashim Rugwe)
 
Back
Top Bottom