Maajabu Tanzania: Kutoka kuuza umeme nje ya nchi hadi kununua umeme 'cheap' toka Ethiopia

1. Tanzania kuuza umeme nje ya nchi...tuna gesi mita za ujazo zaidi ya trilioni 3000 (Prof. Mwongo).
2. Tanzania kununua Umeme wa bei Nafuu kutoka Ethiopia (Prof. Mwongo, Magufuli). 3.Tanzania kumaliza kabisa Tatizo la umeme baada ya ugunduzi na kuanza kutumika kwa gesi (Ngeleja).
4. Tanzania kuanza kusambaza gesi ya kupikia majumbani kupunguza matumizi ya Mkaa (Prof. Mwongo)

'Uprofesa siku hizi ni wa ovyooo kweli'.

Wewe Watanzania utawaweza ............ Washatuona wote mambumbu tu!!

Nakumbuka hata Kikwete alidai yeye ndiye atakuwa Rais wa mwisho kuongoza Tanzania Maskini!! Na watu wakashangilia!!
 
Back
Top Bottom