Tutorial 1X
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,908
- 2,036
CCM wanakata,32 hapa mtaani
√√Chadema wana Kata laini za Voda
√√Chadema wana Kata laini za Voda
Hawa ndio watanzania niliowajua baada ya uchaguzi mdogo.
"Mfano Muleba"
1.Walipigwa tetemeko wakadhiakiwa,Waliambiwa serekali haijaleta tetemeko.Waliabiwa mwafaa,Wakaambiwa ukimwi ni kwenu.n.k.
Bado wameichagua CCM.Pamoja na matatizo ya kimfumo,Ukiangalia kwa jicho la tatu.Tatizo si CCM.Tatizo ni watanzania wenyewe hawajijui wanataka nini.
Kenya huwezi kuwadharau namna hiyo,Then hata wiki haijaisha ukapata kura."NO"Tena big"NO"Mwafaa muleba!
Vinakula wapi?Vipaumbele vya Lowassa bado vinaishi.
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
Ccm hawajashinda muleba..wameiba kura na kulazimisha matokeo..hawa jamaa hata tukiandamana UCHI kuwapinga ni vigumu kuwashinda
jeshi la kwao
vyombo vya ulinzi na usalama ni vyao
mahakama ya kwao
majaji na mahakimu ni wa kwao
bunge ni la kwao
wabunge ni wa kwao
tume ya uchaguzi ya kwao
m/kiti wa tume ya uchaguzi ni wao.
mimi na wewe hatuna cha kuwafanya angalia jana kule znz hadi maiti zimepiga kura,madarakani watakaa mpaka watakapoachia lakini kwa njia ya kura hamna mwenye ubavu huo
Kama ni hivyo mbona kule kasikazini hawashindi mkuuhawa jamaa hata tukiandamana UCHI kuwapinga ni vigumu kuwashinda
jeshi la kwao
vyombo vya ulinzi na usalama ni vyao
mahakama ya kwao
majaji na mahakimu ni wa kwao
bunge ni la kwao
wabunge ni wa kwao
tume ya uchaguzi ya kwao
m/kiti wa tume ya uchaguzi ni wao.
mimi na wewe hatuna cha kuwafanya angalia jana kule znz hadi maiti zimepiga kura,madarakani watakaa mpaka watakapoachia lakini kwa njia ya kura hamna mwenye ubavu huo
Ukweli upi unausimamia hapo?Acha unafiki!
Una uhakika mbna wasimamizi wenu hawajasema hayoCcm hawajashinda muleba..wameiba kura na kulazimisha matokeo..