Maajabu Muleba, Walidharauliwa ila bado wamechagua tena CCM

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
Hawa ndio watanzania niliowajua baada ya uchaguzi mdogo.
"Mfano Muleba"

1.Walipigwa tetemeko wakadhiakiwa,Waliambiwa serekali haijaleta tetemeko.Waliabiwa mwafaa,Wakaambiwa ukimwi ni kwenu.n.k.

Bado wameichagua CCM.Pamoja na matatizo ya kimfumo,Ukiangalia kwa jicho la tatu.Tatizo si CCM.Tatizo ni watanzania wenyewe hawajijui wanataka nini.

Kenya huwezi kuwadharau namna hiyo,Then hata wiki haijaisha ukapata kura."NO"Tena big"NO"Mwafaa muleba!
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,264
2,000
hawa jamaa hata tukiandamana UCHI kuwapinga ni vigumu kuwashinda
jeshi la kwao
vyombo vya ulinzi na usalama ni vyao
mahakama ya kwao
majaji na mahakimu ni wa kwao
bunge ni la kwao
wabunge ni wa kwao
tume ya uchaguzi ya kwao
m/kiti wa tume ya uchaguzi ni wao.

mimi na wewe hatuna cha kuwafanya angalia jana kule znz hadi maiti zimepiga kura,madarakani watakaa mpaka watakapoachia lakini kwa njia ya kura hamna mwenye ubavu huo
 
Sawa mkuu,Ila lazima kuwaonyesha tumewachoka.Watz wakipiga kura za kuwakataa kwa wingi naofikiria.Hata hao wanaowabeba wataona aibu."mfano"Kuna wapiga kura 1000.Then 950 waka vote mabadiliko.Hapo hata wizi unagoma mkuu.
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
21,653
2,000
Ukichaa ni kufanya jambo lilelile na kutegemea matokeo tofauti, mfano mzuri ni kurudia mambo Yale Yale kila uchaguzi na kutegemea matokeo tofauti!
 
Bhampupile

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
813
1,000
Usiwalaumu,, kura ni haki ya kila Mtz anayestahili kupiga kura,,

Hawa wananchi wamepima na kuamua kwa vitendo baada ya kuuona ukweli wa MKULU,,

Kwann binadamu tunauchukia UKWELI wakati Biblia imesema KWELI itakuweka Huru.?
JPM kasema kweli tetemeko halikuletwa na Serikali yake hii ni KWELI tupu,,
Hakuna Wizara yake yoyote iliyosababisha tetemeko kule Kagera KWELI imemuweka huru JPM.Na wananchi wa Muleba wameijua kweli kuwa tetemeko ni mpango wa Mungu wala si kosa la Serikali ya Jpm sasa wako huru baada ya kuijua KWELI wameichagua tena Ccm.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,043
2,000
Tatizo sio chama tatizo uwa ni aina ya watu wanaosimamishwa ............

Mfano Mimi jimbo Langu likiwa na mtu kama Bashe nitamchagua lakini nitashindwa kumchagua Magufuli..............

Hivyo hivyo jimbo langu likiwa na mtu kama Lissu nitamchagua wakati siwezi kumchagua Lowassa......

Mimi nashauri tuache ushabiki Wa vyama tuchague watu wenye uwezo wa kusimamia masilahi ya nchi sio wauni hata kama yupo chadema mtu ambaye aeleweki mkatae.................

Hiki ndio kinakwamisha maendeleo itikadi ndio maana majitu mengine yakichaguliwa yanaenda kufanya Kazi ya wanachama baada ya kufanya Kazi ya wananchi.......
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,094
2,000
Hawa ndio watanzania niliowajua baada ya uchaguzi mdogo.
"Mfano muleba"
1.Walipigwa tetemeko wakadhiakiwa,Waliambiwa serekali haijaleta tetemeko.Waliabiwa mwafaa,Wakaambiwa ukimwi ni kwenu.n.k.
Bado wameichagua Ccm.Pamoja na matatizo ya kimfumo,Ukiangalia kwa jicho la tatu.Tatizo si Ccm.Tatizo ni watanzania wenyewe hawajijui wanataka nini.
Kenya huwezi kuwadharau namna hiyo,Then hata wiki haijaisha ukapata kura."NO"Tena big"NO"Mwafaa muleba!
muleba hawajadharauliwa chochote ila ni propaganda yenu ya kijinga. mnafikiri watu wote ni wajinga? kazi yenu kupotosha kila kauli ya jpm lakini watu wanaona vitendo vya rais wao nyie bakini na uongo wenu.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
34,842
2,000
Tatizo sio chama tatizo uwa ni aina ya watu wanaosimamishwa ............

Mfano Mimi jimbo Langu likiwa na mtu kama Bashe lakini sio nitashindwa kumchagua Magufuli..............

Hivyo hivyo jimbo langu likiwa na mtu kama Lissu nitamchagua wakati siwezi kumchagua Lowassa......
Hawa unatakiwa kuwaacha wanyooshwe haswa.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,124
2,000
Hakuna uchaguzi Mkuu ni mazingaombwe tu!

Hawa ndio watanzania niliowajua baada ya uchaguzi mdogo.
"Mfano muleba"
1.Walipigwa tetemeko wakadhiakiwa,Waliambiwa serekali haijaleta tetemeko.Waliabiwa mwafaa,Wakaambiwa ukimwi ni kwenu.n.k.
Bado wameichagua Ccm.Pamoja na matatizo ya kimfumo,Ukiangalia kwa jicho la tatu.Tatizo si Ccm.Tatizo ni watanzania wenyewe hawajijui wanataka nini.
Kenya huwezi kuwadharau namna hiyo,Then hata wiki haijaisha ukapata kura."NO"Tena big"NO"Mwafaa muleba!
 
Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,288
2,000
Usiwalaumu,, kura ni haki ya kila Mtz anayestahili kupiga kura,,

Hawa wananchi wamepima na kuamua kwa vitendo baada ya kuuona ukweli wa MKULU,,

Kwann binadamu tunauchukia UKWELI wakati Biblia imesema KWELI itakuweka Huru.?
JPM kasema kweli tetemeko halikuletwa na Serikali yake hii ni KWELI tupu,,
Hakuna Wizara yake yoyote iliyosababisha tetemeko kule Kagera KWELI imemuweka huru JPM.Na wananchi wa Muleba wameijua kweli kuwa tetemeko ni mpango wa Mungu wala si kosa la Serikali ya Jpm sasa wako huru baada ya kuijua KWELI wameichagua tena Ccm.
Ni jukumu la nani kusaidia wananchi wake wanapopatwa na majanga?Aliwasaidia?Michango yao ipo wapi?
Muleba wafaa!
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,189
2,000
Zile kura 8mil alizopata jamaa ni shangao tosha kwanza kabla ya Muleba
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,264
2,000
Sawa mkuu,Ila lazima kuwaonyesha tumewachoka.Watz wakipiga kura za kuwakataa kwa wingi naofikiria.Hata hao wanaowabeba wataona aibu."mfano"Kuna wapiga kura 1000.Then 950 waka vote mabadiliko.Hapo hata wizi unagoma mkuu.
kaka kule znz kila chaguzi kuu CUF wanabeba lakini nani anayetangazwa mshindi? Angalia burundi,kenya,rwanda,zimbabwe chaguzi zao ndipo utapata jibu
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,752
2,000
Sawa mkuu,Ila lazima kuwaonyesha tumewachoka.Watz wakipiga kura za kuwakataa kwa wingi naofikiria.Hata hao wanaowabeba wataona aibu."mfano"Kuna wapiga kura 1000.Then 950 waka vote mabadiliko.Hapo hata wizi unagoma mkuu.
kwa tume hii, idadi ya wapiga kura 1,000 itageuzwa kuwa 1,950. Wana mabadiliko watakuwa 950 lakini CCM 1,000. back to square one.

[HASHTAG]#tumehuruyauchaguziorelse[/HASHTAG]
 
Polycarp Isaya Urio

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,008
2,000
Usiwalaumu,, kura ni haki ya kila Mtz anayestahili kupiga kura,,

Hawa wananchi wamepima na kuamua kwa vitendo baada ya kuuona ukweli wa MKULU,,

Kwann binadamu tunauchukia UKWELI wakati Biblia imesema KWELI itakuweka Huru.?
JPM kasema kweli tetemeko halikuletwa na Serikali yake hii ni KWELI tupu,,
Hakuna Wizara yake yoyote iliyosababisha tetemeko kule Kagera KWELI imemuweka huru JPM.Na wananchi wa Muleba wameijua kweli kuwa tetemeko ni mpango wa Mungu wala si kosa la Serikali ya Jpm sasa wako huru baada ya kuijua KWELI wameichagua tena Ccm.
Ukweli unauma lkn ni dawa.Wa muleba wamelielewa hilo.
 
Ngosha255

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
382
500
Tatizo sio chama tatizo uwa ni aina ya watu wanaosimamishwa ............

Mfano Mimi jimbo Langu likiwa na mtu kama Bashe nitamchagua lakini nitashindwa kumchagua Magufuli..............

Hivyo hivyo jimbo langu likiwa na mtu kama Lissu nitamchagua wakati siwezi kumchagua Lowassa......

Mimi nashauri tuache ushabiki Wa vyama tuchague watu wenye uwezo wa kusimamia masilahi ya nchi sio wauni hata kama yupo chadema mtu ambaye aeleweki mkatae.................

Hiki ndio kinakwamisha maendeleo itikadi ndio maana majitu mengine yakichaguliwa yanaenda kufanya Kazi ya wanachama baada ya kufanya Kazi ya wananchi.......
Siku zingine huwa nakuelewa sana Mkuu
Ushabiki wa vyama ni tatizo sugu! Naona unapunguza hata uwezo wa kufikiri!
 
Mango833

JF-Expert Member
May 4, 2011
3,938
2,000
matokeo yenyewe yanatangazwa usku tena kwa mabomu.naangalia ITV hapa wametangaza matokeo kwa mabomu kama CCM lazima ishinde kwanin tusibane matumizi kwa kumpitisha mgombea wa ccm na kumuapisha kuliko kuitisha uchaguz ambao matokeo yameshapangwa
 
huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
1,512
2,000
Tatizo sio chama tatizo uwa ni aina ya watu wanaosimamishwa ............

Mfano Mimi jimbo Langu likiwa na mtu kama Bashe nitamchagua lakini nitashindwa kumchagua Magufuli..............

Hivyo hivyo jimbo langu likiwa na mtu kama Lissu nitamchagua wakati siwezi kumchagua Lowassa......

Mimi nashauri tuache ushabiki Wa vyama tuchague watu wenye uwezo wa kusimamia masilahi ya nchi sio wauni hata kama yupo chadema mtu ambaye aeleweki mkatae.................

Hiki ndio kinakwamisha maendeleo itikadi ndio maana majitu mengine yakichaguliwa yanaenda kufanya Kazi ya wanachama baada ya kufanya Kazi ya wananchi.......
Well said

Using'ang'anie tu chadema kila siku,chagua mtu hata kma yupo ccm,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom