Maajabu Mtetemeko wa Ardhi uliotokea UTuruki nyumba zimeanguka zote Msikiti umebaki

I real dont belive this is happening right here right now.
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat?!!!! aaminie bila kutumia maarifa ni sawa na kipofu, naam, mtu aliyetiwa kiwi naye asipate kuona kabisa.
 
Nakuona ulivo na wahka na shauku ya kugombana na keyboard, lakini swali ni ..
Je una jipya??

<!-- google_ad_section_end --><!-- / sig -->
Lakini kipya ni kipi hapa?

Ma-gret sinka kujizongazonga na kushindwa kuelewa posts za wengine?
Sidhani kaa ni geni hili.
 
Ustaadh Mzizimkavu, usibishane nao hao, wamepigwa muhuri wa kupotea na allah, kama vile alivoleta hilo tetemeko kuua watu na kuunusuru msikiti.?!

Acha kushbikia ujinga,tuonyeshe hapo nyumba ya tofali katika hizo zilodondoka ili kujustfy hicho unacho shadadia.

Muwe mnafikiri kwanza ndipo mlete mbwembwe zenu.
 
Acha kushbikia ujinga,tuonyeshe hapo nyumba ya tofali katika hizo zilodondoka ili kujustfy hicho unacho shadadia.

Muwe mnafikiri kwanza ndipo mlete mbwembwe zenu.

bwa ha ha..kaaz kwelikweli..lakini tutafika tu.
 
Msikiti ni nini haswa? Msikiti bila watu una maana gani?

Mkuu usichanganye na kanisa kama linavyoelezwa ktk bible hawa msikiti kwao ni jengo. Sas kuna nyumba hapo ya kustahimili tetemeko zaid ya msikiti. Maajabu mengine wala si maajabu kabisa. Hizi nyumba hata kimbunga kidogo tu kingeziangusha inaonekana ni kijijini sana huku, lakini wakajenga msikiti imara wakasahau nymba zao lol
 
Jamani msidharau kumbe allah yupo....Je naule msikiti uliobomoka na kuuwa watu zaidi ya 30 allah alikuwa wapi?

Acheni kutugeuza mazuzu... huo msikiti umebomoka maana naona nyumba za tope na miti ndio zimezunguka huo msikiti na kama kweli haukubomoka basi ungepigwa kwa karibu.
 
Halafu wazo lingine linanijia hivi kweli huo ni msikiti? Yaani kuwa na mnara tu hivyo ni msikiiti. Mskiti unakuwa na madirisha mengi kuonyesha kuwa ni vyumba vingi? Misikiti tunaijua huu kama vile haujakaa kimsikiti kwani hata habari ya picha haisemi kuwa ni msikiti huu. Ni kudadavua zaidi tu
 
Back
Top Bottom