Maajabu Mtetemeko wa Ardhi uliotokea UTuruki nyumba zimeanguka zote Msikiti umebaki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu Mtetemeko wa Ardhi uliotokea UTuruki nyumba zimeanguka zote Msikiti umebaki

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 8, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]
  <!-- end photoProvider --> <cite id="photoTimestamp">Mon Mar 8, 6:07 AM ET</cite>

  <!-- end photo cont --> Prev 12 of 20 Next
  People walk around a destroyed house in Okcular Village, in Elazig province March 8, 2010. A strong earthquake killed 41 villagers in eastern Turkey early on Monday, local officials said, as rescuers worked to free survivors trapped under the rubble.The quake woke residents from their sleep when it struck at 4:32 am local time (0232 GMT), centred on the sparsely populated area of Basyurt in Elazig province. The quake had a magnitude of 6.0 and was followed by 30 minor aftershocks.
  <cite id="captionCite"> REUTERS/Stringer (TURKEY - Tags: DISASTER)

  http://news.yahoo.com/nphotos/Strong-earthquake-hits-eastern-Turkey/ss/events/wl/030810turkeyquake#photoViewer=/100308/photos_ts_wl_afp/9802686d8ab2ea1e1ab74ccf275035f1
  </cite>
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hehe, MaxShimba akiona hii lazima ata-conclude tu ndiyo yale yaleeeeeeeeeee!
   
 3. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sasa hizo nyingine ni nyumba au mfano wanyumba si unaona mabaki ya miti? Hapo nyumba illikuwa hiyo moja tu, yaani kwa kifupi halikuwa na nguvu za kutosha hapo ila sio kwa sababu ni msikiti jamani angalia vizuri na kuanalyse kabala ya kuleta vitu hapa
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  huo ndio ukweli

  ,maana inaonekana kijiji chote nyumba ya maana ilikuwa ni moja tu (msikiti), na kama kawaida itakuwa ni ujenzi wa mfadhiri
   
 5. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Si ndo hapo jamaa he should think more than they want him to think
   
 6. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  nyiye jipeni moyo tu! Lakini ukweli utabaki palepale
   
 7. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #7
  Mar 9, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa mariporter wa REUTERS nao walijifanya hawalioni hilo jengo lililosalia, na kufanya 'special consideration'?
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Nyinyi wote Mupinge au Mukubali huo ndio Ushahidi wa picha inavyojionyesha yenyewe kama ilivyo Nyumba zimeanguka na Msikiti ndio Umebaki hiyo ni Adhabu kwa Mungu kuna makosa ndio maana Mungu akaleta hiyo Mtetemeko wa ardhi kazi kwenu kukubalini au Mukatae MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ustaadh Mzizimkavu, usibishane nao hao, wamepigwa muhuri wa kupotea na allah, kama vile alivoleta hilo tetemeko kuua watu na kuunusuru msikiti.?!
   
 10. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duuuh! ungejua chanzo cha matetemeko ya ardhi wala usingemsingizia Mungu. Naomba usome kidogo kuhusu theories hizi 1. plate tectonics of Harry Hess 2. isostancy by C.E dutton. Unaweza kupata picha kidogo kuhusu matetemeko ya ardhi.
  ukweli ni kuwa Msikiti umebaki kwa kuwa ulikuwa imara na umehimili mtikisiko wa tetemeko. Take it from me
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mark 13: 8: For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be earthquakes in divers places, and there shall be famines and troubles: these are the beginnings of sorrows.

  Jesus knew before time!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Ukikataa Ukikubali ukweli bado upo pale pele kama picha inavyojieleza yenyewe hiyo kazi kwako MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO HEHEHEHEHEHH
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  and..  this was suppose to be sarcasm..lol..

  Kaaz kwelikweli, lakini tutafika tu...
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Tukisema hilo tetemeko Mungu alilileta kuwadhabu waturuki kwa dhambi, ni jamii ipi ingekwepa gadhabu ya Mungu KWA KUJIHESABIA HAKI?
  Tetemeko lina scientific explanations kama alivyosema Magafu hapo juu.Acheni superstitions na kumsingizia Mungu kila kitu.
   
 15. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  heeeeeeey acheni kutoa analysis zisizokuwa na upeo, hata kwa macho utaona zilizoharibika ni mabanda tena seems hafifu sana ya miti, huo msikiti umejengwa tena may be walidhamiria kudhibiti earth quakes, sasa utasemaje hayo ni maajabu? Pembeni hakuna hata mfano wa tofali sasa hizo nazo utaita nyumba?
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Na Kifo nacho kina scientific explanations? Kazi kweli ndugu zetu mnaoamini scientific explanations MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280

  SURA 30. SURAT AR-RUM 41. Ufisadi umedhihiri bara na baharini kwa iliyo yafanya mikono ya watu, ili
  Mwenyezi Mungu awaonyeshe baadhi ya waliyo yatenda. Huenda wakarejea kwa kutubu.


  SURA 99. SURAT AZ-ZILZALAH 1. Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake!
  2. Na itakapo toa ardhi mizigo yake!
  3. Na mtu akasema: Ina nini?
  4. Siku hiyo itahadithia khabari zake.
  5. Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!
  6. Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao!
  7. Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!
  8. Na anaye tenda chembe ya uovu atauona!
   
 18. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160

  Mkuu hizo aya zinaelezea siku ya kihama, si ndio?
   
 19. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Uko sahihi Abdul,asipoteze muda wake kubishana nao hao.
   
 20. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Msikiti ni nini haswa? Msikiti bila watu una maana gani?
   
Loading...