Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,466
- 2,642
Wasalaam,
Jana nilikwenda maeneo ya mbezi kumsalimia ndugu yangu ambae ni mkaanga chips.
Nilikuta hajafungua biashara na kwamba aliitumia cku ya Jana kwenda kupanga foleni ili kununua kitambulisho cha machinga, kwani wametangaziwa ya kwamba mwisho kununua kitambulisho hicho ni 01/march na baada ya hapo utaendeshwa msako mkali kukamata ambao watashindwa kuvinunua na watalazimika kuvinunua pamoja na faini.
Ndipo nikajua kuwa ni lazima kwa wachuuzi kununua vitambulisho hivi.
Wito wangu kwa wachuuzi ni vema mkanunue vitambulisho hv msije mkanunua na faini au kupigwa km mbwakoko.