Maajabu: Kumbe kina "Juma Nkamia" wapo hadi Marekani? Wataka Trump awe Rais wa mihula 3!

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,231
2,000
Inaelekea haka kaugonjwa ka baadhi ya watu kutaka marais wenye tabia za ki Trump-Trump waongoze muda mrefu kameenea si Africa pekee bali hadi huko Marekani.

Ni vyema nchi zilizoathirika na haka kaugonjwa zipate fundisho sasa kuwa si kila mtu anaweza kuwa rais.

Maana yake ni kwamba vyombo vya uteuzi visipokuwa makini kwenye mchujo vinaweza kumpata candidate ambaye wapiga kura wanaweza kumchagua si kwa vile ni kiongozi bora bali ni vile wanamchukulia kama ni burudani ya kuwafurahisha kwa mambo yake ya ajabu ajabu anayoyafanya.

Jeee, Tanzania tunacho cha kujifunza na kuchukua tahadhari in the future?

===========================================================================================================
Trump supporters in Florida say the president needs a third term

Tens of thousands of President Trump’s supporters descended upon the Amway Center in Orlando on Tuesday to hear the president launch his 2020 campaign. Their positions were in sync. Many said they have enjoyed the president’s time in office thus far and tout the strong economy. Supporters also said that illegal immigrants have no place in the country and that if Trump can have a third term, they’re all for it. “Maybe the Democrats would get it right during the third term and leave him alone so he could do even more,” said one Trump supporter.

Rally-goers waited on line for more than 30 hours ahead of the doors opening for the main event, dealing with heavy rain to secure a prime spot to hear the president speak. Outside the venue there was live music, food trucks and frequent chants of “U-S-A, U-S-A.” Inside, attendees bonded over their excitement about seeing the president.

“Our patriotic movement has been under assault from the very first day,” Trump said in front of the energized crowd. “We accomplished more than any other president has in the first two and a half years of a presidency and under circumstances that no president has had to deal with before.”

The rally served as the official starting point of Trump’s reelection campaign against a crowded Democratic field that already has 23 proposed candidates. Florida, which holds 29 Electoral College votes, is the biggest swing state in the nation and a must-win for the president.
While thousands of supporters packed the arena to express their praise for Trump, not all of Orlando is behind another four years under the current administration. The Orlando Sentinel, the city’s most widely distributed newspaper, put out a scathing editorial just hours before the rally in which it endorsed “anyone but Trump.” It’s only the fifth time in the paper’s history that it hasn’t supported the GOP candidate. “Enough of the chaos, the division, the schoolyard insults, the self-aggrandizement, the corruption, and especially the lies,” said the editorial. “The nation must endure another 1½ years of Trump. But it needn’t suffer another four beyond that.”
But the president’s team doesn’t care too much about what the Sentinel has to say. Kayleigh McEnany, the national press secretary of the Trump 2020 campaign, said Americans are smart and don’t depend on newspapers. “Newspaper endorsements are meaningless,” she said. “People don’t need to be told by a newspaper who to vote for. They need to know who’s going to be more affordable for my kids to go to college, who’s going to make this economy better … and they don’t depend on the Orlando Sentinel for that.”

Despite the paper’s critique, Trump supporters at the rally were pleased with the president’s first two and a half years in office. They are confident a wall is being built and said they would welcome having him serve a third term in office. “If he could come into a third term just like Mayor Bloomberg had a third term in New York City had a third term, [I’m down],” said one supporter. “We got him.”
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,925
2,000
Hayo ni maoni yao.Usipinge maoni yao.Marekani katiba inaruhusu 2025 agombee tena,kama 2020 atafeli.Je,wewe unadhani kikwete katiba ingeruhusu akigombea 2020 nani angemnyima kura wakati vijana na degree zao zaidi ya mil3 wako mtaani?Biashara haziendi yani JPM angepata kura laki 7 tu.
Lakin huko Marekani Obama akigombea hapati urais kwa sababu Aliwekwa Trump ili kuzuia mianya/udhaifu uliofanyika katika utawala wa Obama kama tunavyoona saiz mambo yao yamenyooka.Ila huku kwetu tangia JPM kaingia mara wasiojulikana mara makonda na vituko vyake na upuuz mwingine agh!
 
hahahaaaa!
 
mikedean

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
2,925
2,000
Sawa.ni vema sasa umekuwa baba yangu hilo halinitatizi baba mdogo.
Kichwani umejaa funza na makamasi.We ni mmama nini una umama ndani yako.Timu Clinton.Trump hata akigombea urais wa dunia anapata.Lakin wewe hata uongozi wa familia hupewi maana hauna akili kichwani nimavi.
Nimeshalala na mama yako tayari, mpigie simu umuulize!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,469

Muulize mama yako kama nina funza atakwambia muziki kuwa hauna funza
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
15,090
2,000
Nimeshalala na mama yako tayari, mpigie simu umuulize!
Sawa.ni vema sasa umekuwa baba yangu hilo halinitatizi baba mdogo.
Kichwani umejaa funza na makamasi.We ni mmama nini una umama ndani yako.Timu Clinton.Trump hata akigombea urais wa dunia anapata.Lakin wewe hata uongozi wa familia hupewi maana hauna akili kichwani nimavi.
Mmebaki kushambuliana mmeacha hoja kisa Unkamia ?!. US wanayo katiba strong inayowadhibiti wehu. Je hapa kwetu ni mhimili upi unaweza kusimama na jamaa yetu ??!!

Kule hawezi kugawa hela anavojisikia huku bunge ni raba stamp linatumika baada ya bosi kuamua !!!. Mahakama zinaekekezwa zimalize kesi ili zipewe hela !!! Hapo tunajilinganisha Je na US ?!. Tujadili hoja waacheni mama zetu wapumzike walishamaliza majukumu yao
 
Kweli kabisa kaka.kufananisha US na TZ sio sawa.Pia wao inawaruhusu mfano saizi kikwete kwa katiba yao angeweza kugombea tena.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom