Maajabu: Kichanga kilichoibiwa mwaka 1998 kimepatikana akiwa msichana wa miaka 18

Hata hivyo anaonekana hajaishi maish yenye furaha huyu mtoto. Sura yake imejaa huzuni, mashaka, maswali mengi japo anajitahidi kuyafunika.

Ninatamani mtu atuweekee hapa simulizi yake. Ninayoyasema mtayaona tu. Shetani mbaya sana. Alizaliwa akiwa na nuru angavu, asili ya fuaraha na matumaini, dunia ikamfanya alivyo sasa. Furaha ya kutengeneza, maisha ya kuwafurahisha watu kuliko amani yake!. Watu wasiomthamini zaidi ya kumtumia. Maisha yake ni kwa ajili ya uhai wake na kamwe uhai wake haupo kwa ajli ya maisha yake. Kweli ni huzuni.

Sura yake imeezeeka kama vila ana miaka 36 kumbe ni 18. Hakuwahi kuwa na misha yenye utulivu hata.

Hawa wezi wa watoto wachukuliwe hatua kali.
 
Kwel kabisaa mkuuu..
 
Huyo ndio mtoto alieibiwa na pichani ni mwanamke aliemuiba akiwa na umri wa miaka 51 msichanganye hapo
5c0f69df7b53bff170b7138400781eb6.jpg
 
Kumbe sura ya miaka 36 imeezeeka.mbona Zari yupo bomba?? Ungesema miaka 60

Navyojua hawajaonyesha picha ya huyo mtoto aliyopatikana.

Ni mtu ndio ameripoti juu ya hili na akakamatwa, nasubiria kuja kusoma zaidi nini kilimpeleka aliyeripoti kumripoti.
 
Back
Top Bottom