Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,820
- 18,816
Raia wa Kenya wamefanya maandamano katika Ubalozi wa Marekani nchini humo kulaani mauaji ya Raia mweusi aliyeuawa na polisi nchini humo
Jambo la kustajaabisha Ni kuwa Kenya imekuwa iki trend duniani kwa ukatili wa polisi wao wanaopiga raia, kuua na kuwafungulia mbwa huku wakicheka
Lakini hawajawahi kufanya maandamano kupinga ukatili huo, je huku Ni kutokujielewa au Ni kutafuta attention?
Binafsi ningeshangaa hata Tanzania au nchi yoyote ya Africa wangeandamana kupinga ukatili wa polisi Marekani
Labda maandamano ya Marekani yangetuchochea na sisi kufanya maandamano dhidi ya polisi wetu na sio wa Marekani.