Maajabu katika mkoa wa arusha idara ya afya

brucella

Member
Mar 15, 2019
69
71
Katika hali ya kusikitishwa huduma ya afya katika mkoa zimekua hazilidhishi kutokana na usimamiz mbovu uliopo kwa timu ya mkoa ikiongozwa na mganga mkuu wa mkoa wa Arusha.
Mtakumbuka miaka miwili iliyopita serikali iliwaondoa watumishi hewa na wale wenye vyeti feki katika utumishi wa umma.
Chakushangaza baadhi ya watumishi waliendelea kufanya kaz kwenye nafasi zao hususa wale ambao walikuwa na mahusiano na viongoz wakubwa kwenye halmashauri kama RAS,RMO, nk.
Tatizo hilo pia limeikumba idara ya afya ya usimamiz Wa huduma za afya mkoa wa Afya(RHMT).
Kuna mtumishi hewa ambaye alikuwa ni msimamizi wa huduma za maabara mkoa alikutwa na shida ya vyeti feki akaondolewa kwenye mfumo wa utumishi,ila akaendelea kuwepo kazin na kwenye nafasi yake hata pale alipokuja mrithi wake akaendelea kungangania kiti huku akipewa nguvu na katibu wa afya mkoa,hata alipotoka kwenye nafas hiyo bado anakuja kazini huku akiishi kwa semina na usimamizi mwingine ambao anapewa na viongoz wake RMO pamoja na Katibu wa afya, jambi hili linaendelea kuzorotesha huduma za maabara mkoa wa Arusha
Mpaka leo leo huyu mtu yuko kazini kiujanja ujanja,huku viongoz wake wakilijua vizuri jambo hili RMO na RHMT na viongoz wa mkoa kiujumla.
Sasa jamani nan wa kulaumiwa kama siyo hao viongoz ambao wanabeba uozo huh.
Na hao hao ndio wanaomuhujumu mh.Rais wetu mpendwa ambaye ni nuru imeletwa Tanzania.
Viongozi wa TAMISEMI na idara zingine naombeni mfuatilie jambo hili kabla hali haijawa mbaya mkoani Arusha.
Weekend njema
 
Mleta mada gawa na wewe papuchi ulindwe na hao mabosi wenu.
Unatuchosha akli aisee,weita leta supu na moja ya kuzimua!!
 
Hilo ndo tatizo la watanzania wengi umbea umbea usiokuwa na maana.
 
Back
Top Bottom