Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,045
- 10,329
Hizo picha naona mkusanyiko wa magari bila mpangilio wowote yakiwa barabarani na sehem za wazi ndio bus stand hapo? Ufafanuzi tafadhali
The system we have is just fine with us it doesn't need to be like yourskimaku seriously? Developed country doesn't need a bus stand
Hata sijakuelewa! Sasa sijui ndio umetulinganishaje sasa sisi na wao hadi ukafikia kigezo cha kutuponda kwa kutoza nauli kidogo sana kwenye ferry kwa ajili ya maendeleo mengine, umesema maisha yao, barabara zao, ni ovyo, tena hawana viwanja vya wazi vya serikali! Sasa huoni TZ tuko juu!! Acha kudharau.Habari zenu wana Jf
kwa siku kadhaa nimekuwa nikisoma uzi kadhaa kuhusu miji ya Afrika mashariki hapa JF.
mji wa Mombasa ni mmoja wa miji yenye kusifiwa sana kwa mambo mazuri,
nilibahatika kufika pale wiki kadhaa nyuma lakini ajabu niliyoona mji ule hauna hata Stand ya Bus.
yaani kila kampuni inapakilia abiria ofisini kwake.
nikamuuliza mwenyeji wangu kulikoni? kaniambia mabepari walishauza kila kitu hata viwanja vya wazi hakuna,nikashangaa kuona hata daladala (Matatu) zao hazina stand zinapakia kokote tu.
ukweli mpangilio wa mji ule uko hovyo kabisa kwa mjini pale labda pembeni ambako sijatembelea.
Kitu kimoja tu nilipenda mji ule pale kivuko cha LIKONI pale wana ferry kama 3 au 4 zinapishana na watu wanapanda bure tu ila magari na vyombo vingine ndio wanalipa.Kwa hilo hongereni sisi hapa tuliambiwa kama hatuna pesa tupige mbizi tu.
Kingine barabara ya kutoka horohoro kwenda MSA ni mbovu hovyo kabisa na nyembamba mno.
Na nilichoona kingine Kenya maendeleo yao mengi ni ya mkoloni tu lakini toka wapate uhuru sidhani kama kuna la maana wamefanya.
Kingine maisha ni magumu sana sana nchi ile jamaa wana dhiki vibaya sana,najiuliza wao kuwa vinara wa Afrika Mashariki kwa uchumi imara lakini uchumi wao hauna faida wala msaada kwa raia wa kawaida, ni hayo tu kwa leo.
Nimependa miti katika picha ya mwisho lakini the rest ni kama stand ya mbagala.....Mwendo wa mapicha kuhusu stage za mabasi Kenya. Japo bado nashauri niwasaidie kuwapa fursa ya kutoka nje ya Tanzania na kutembelea Kenya. Maana mkihadithiwa kijiweni chochote kibaya kuhusu Kenya, mnapigana vikumbo nani atapost wa kwanza JF.
Tutawafanyia mchango.....
Hapo huyo mwenyeji wako (ambaye sina shaka ni mdanganyika mwenzako) kakudanganya, ama ni wewe umecreate hili stori ya kiupuzi kueneza uongo humu.....Habari zenu wana Jf
nikamuuliza mwenyeji wangu kulikoni? kaniambia mabepari walishauza kila kitu hata viwanja vya wazi hakuna,nikashangaa kuona hata daladala (Matatu) zao hazina stand zinapakia kokote tu.
Waona? Ulianzisha hili mada kwa minajili ya kuiponda Kenya. Mji, vile umekiri wewe mwenyewe haukupatembelea kwote, wewe ulifika sijui hayo maeneo ya wapi, ukaconclude mji wa Msa umepangika vibaya!ukweli mpangilio wa mji ule uko hovyo kabisa kwa mjini pale labda pembeni ambako sijatembelea.
Kwa hivo mabarabara zote za Dar ni sawa mna mapana?Kitu kimoja tu nilipenda mji ule pale kivuko cha LIKONI pale wana ferry kama 3 au 4 zinapishana na watu wanapanda bure tu ila magari na vyombo vingine ndio wanalipa.Kwa hilo hongereni sisi hapa tuliambiwa kama hatuna pesa tupige mbizi tu.
Kingine barabara ya kutoka horohoro kwenda MSA ni mbovu hovyo kabisa na nyembamba mno.
Kweli?Na nilichoona kingine Kenya maendeleo yao mengi ni ya mkoloni tu lakini toka wapate uhuru sidhani kama kuna la maana wamefanya.
Pack of Rubbish.......Kingine maisha ni magumu sana sana nchi ile jamaa wana dhiki vibaya sana,najiuliza wao kuwa vinara wa Afrika Mashariki kwa uchumi imara lakini uchumi wao hauna faida wala msaada kwa raia wa kawaida, ni hayo tu kwa leo.
Kwanza na sisi pia tuutaanza kudai na nyinyi muweke picha za hizo maish magumu mlishuhudia Kenya. Sio kuja tu humu na kueneza upuzz wa aina hii.Na nilichoona kingine Kenya maendeleo yao mengi ni ya mkoloni tu lakini toka wapate uhuru sidhani kama kuna la maana wamefanya.
Kingine maisha ni magumu sana sana nchi ile jamaa wana dhiki vibaya sana,najiuliza wao kuwa vinara wa Afrika Mashariki kwa uchumi imara lakini uchumi wao hauna faida wala msaada kwa raia wa kawaida, ni hayo tu kwa leo.
lots of respect to you manKwanza na sisi pia tuutaanza kudai na nyinyi muweke picha za hizo maish magumu mlishuhudia Kenya. Sio kuja tu humu na kueneza upuzz wa aina hii.
Hatukatai, umaskini upo Kenya, lakini usininidanganye hali ya dhiki Mombasa ati ni mbaya kushinda ya Dar. That is nonsense.
Hero, tell us more about that misery u claim to have witnessed in Mombasa tht doesnt exist in Dar.......bring it along with the pictures or your claims remain just that......porojo from someone who has either never been to Mombasa or envious of the development he saw in Mombasa.
Kumbe kelele zote umeng'ang'ania mashamba ya chai na milimaMimi sijawahi kutoka nje ya mkoa wa singida kwa hiyo siwezi kusema mengi
Wacha kudanganyaBuxton kuna stage ya mabasi kuelekea north coast(malindi na kilifi)...alafu stage za matatu/dalala zipo kote jijini kwa mfano posta,buxton,lights,makadara hospital n.k ...huyu mwanzisha mada awache porojo nyingi..kama alishindwa kulitambua jiji vizuri asituletee uongo hapa
Ni kweli kabisa. Inashangaza sana Jiji kama Nairobi linakosa stendi ya mabasi.
Fine, but the issue here is with the some of u spreading lies about Kenya here. We dont care if u are all contented with your transport systems, that is ur problem.View attachment 362964 View attachment 362965
View attachment 362966
View attachment 362967
I repeat that we sincerely don't need a system like yours even though we do have them but for our convenience we prefer what we have. In any case it wouldn't help improve anything