Maajabu !! Jamani huyu shemeji yangu ni vipi?

princes

Member
Sep 10, 2008
29
5
Mhh! ndugu zangu wana jamii f.
Nisaidieni juu ya huyu shem wangu.
My sis ananilalamikia na anaomba ushauri kwa haya:
- Alikuwa mwema sana na upendo walipokuwa wachumba ahadi ndoa.
- Ajabu kila siku zilipojongea akaanza kumtukana mama yake mzazi kuwa malaya aliwazaa hovyo hovyo na mengi mengi
mazito hata kwa ndugu zake.na hata kumnyang'anya mama yake kadi ya bima.
- akaaanza kumtukana mke wake hadi kwao na mama mkwe matusi ya ajabu hayo hayo hadi kwa ndugu wa mke.
- akaanza kumtukana bosi kazini na hata kukosana na kuhamishiwa mkoa mwingine mdogo tu toka jijini.
- Huko sasa ni kushikwa ugoni kila mara hata ndani mwao.
Wana watoto wawili na sisy ni mja mzito sasa.
- Sasa Hii kali ameanza Kunya ndani au kwenye vyombo vya chooni kama ndoo ya maji sakafuni ndani nk.
akimuuliza ananyamaza .
Afanye je?
 
kuna kitu umeongea hapo very interesting aisee

kwamba huyo mgonjwa wenu wa akili,anabadili wanawake kila siku...

kwanini wagonjwa wa akili wanaweza kupata wanawake wengi kuliko
watu wa zima kiakili.....nimeona kwa wengi hii kitu,....

why women find mental ill men attractive???????
 
Lmao....
 
Huyo baba wa watu ni mgonjwa....Wanatakiwa kumpeleka haraka kwa daktari kabla hajaanza kuwachinja!
 
Hilo la kujisaidia kwenye vyombo linamaliza kabisa dalili za kuwa atakuwa mgonjwa wa akili...mpelekeni kwa wataalamu.
 
ooh jamani pole nyingi kwa dada yako. Shemeji yako ni mgonjwa mpelekeni hosp haraka iwezekanavyo akapate matibabu kabla hajaleta madhara makubwa zaid. Poleni sana.
 
ni bora angepimwa ubongo wake,kuna magonjwa mengine yanasababishwa na hitilafu kwenye ubongo,dalili,unakuwa unatukana ovyo
 
Poleni sana jamani, huyo shemeji yako ni mgonjwa. Pls pls muwahisheni hospitali kwa uchunguzi na matibabu zaidi.
 
poleni sana! Mpelekeni Hospital ya wagonjwa wa akili but More player more power, msiache kumwombea Dua/sala
 
ooh jamani pole nyingi kwa dada yako. Shemeji yako ni mgonjwa mpelekeni hosp haraka iwezekanavyo akapate matibabu kabla hajaleta madhara makubwa zaid. Poleni sana.
 
siku atamnyofoa dada yako sehemu zake kwa mikono nyie chekeni tu hapo
 
nakushauri uchukue usafiri wa haraka haraka hadi Dodoma kuulizia nafasi pale hospitali ya vichaaa Mirembe
ukichelewa ataanza kuwanyea midomoni..........
 
Laana hizo aende kwao akatambike. Huko kuanza kutukana wakwe tu ni dalili tosha kwamba laana ishamwingia. Akatubu huko alikokosea na ubaya wa laana, ni kwamba aliyelaaniwa mwenyewe hawezi kujitambua hadi nyie wa pembeni mmsaidie.
 
Mhh! ndugu zangu wana jamii f.
Nisaidieni juu ya huyu shem wangu.
My sis ananilalamikia na anaomba ushauri kwa haya:
- Alikuwa mwema sana na upendo walipokuwa wachumba ahadi ndoa.
- Ajabu kila siku zilipojongea akaanza kumtukana mama yake mzazi kuwa malaya aliwazaa hovyo hovyo na mengi mengi
mazito hata kwa ndugu zake.na hata kumnyang'anya mama yake kadi ya bima.
- akaaanza kumtukana mke wake hadi kwao na mama mkwe matusi ya ajabu hayo hayo hadi kwa ndugu wa mke.
- akaanza kumtukana bosi kazini na hata kukosana na kuhamishiwa mkoa mwingine mdogo tu toka jijini.
- Huko sasa ni kushikwa ugoni kila mara hata ndani mwao.
Wana watoto wawili na sisy ni mja mzito sasa.
- Sasa Hii kali ameanza Kunya ndani au kwenye vyombo vya chooni kama ndoo ya maji sakafuni ndani nk.
akimuuliza ananyamaza .
Afanye je?

Mtu anafikia mpaka kunya kwenye ndoo za chooni na kuwacha choo halafu unauliza huyo dadaako afanyeje? Unanshangaza sana.

Inaonesha huyo shemeji yako ana matatizo, dada'ko ana matatizo na wewe mwenyewe una matatizo. Nendeni Hospitali haraka sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom