Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,850 Jan 15, 2017 #1 Ni mazingaumbwe au ni kweli?Nilikutana naye maeneo ya kinondoni!!
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 20,385 24,939 Jan 15, 2017 #2 HAHHAAHAHA, SASA SISI TUTAJUAJE MKUU?
kayanda japheth Member Jan 14, 2017 20 4 Jan 15, 2017 #3 We we ukikutana na rungu la MAGU utakoma tena uailudie kuwadanganya watu
Kazitunayo JF-Expert Member Mar 30, 2013 3,782 3,190 Jan 15, 2017 #6 Kwa Njaa hii Tanzania mbona zinaenda tu
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 52,021 114,387 Jan 15, 2017 #8 Nape amtafutie mashindano ya kimataifa ampe na bendera ya taifa
Jambazi JF-Expert Member Jan 18, 2014 16,644 18,707 Jan 15, 2017 #9 Akienda kula na maandazi mawili ya Azam kashashiba