Maajabu: Huu ndiyo Ukumbi wa Halmashauri ya Busokelo

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Tupo katika awamu ya tano yenye ndoto ya Tanzania ya Viwanda lakini kuna viongozi hawapo serious.

Huu ndiyo Ukumbi wa kimataifa wa halmashauri ya Busokelo unaoendelea kujengwa na watu walio serious wenye falsafa ya maendeleo.

Mwenyekiti yupo, Mkurugenzi yupo, Afisa manunuzi yupo, Mhandisi yupo.

Yaani nimeuangalia halafu nikasema hiiii

39154877_2278509905509840_7502011825370693632_o.jpg

39141734_2278518928842271_5258365337082003456_o.jpg

Huu ni mwonekano wa ndani. Unaweza fikiri ni kanisa ila sio kanisa ni project ya watu wanao mchezea rais wetu.
 
Back
Top Bottom