Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

Mwezi uliopita kuna mtu alinambia kuwa baada ya Rais samia suluhu kuingia madarakani kuna retaining fees iliondolewa, nilienda kuhakiki deni langu ambalo lilikuwa linasoma mil 4.4, ila statement waliyonipa ilionyesha nadaiwa mil 1.4, nikawauliza mbona kunatofauti wakaniambia kabla ya mwezi wa pili watarekebisha zisome sawa za loarnboard na kwenye slip....
Yes upo sahihi, mimi kwangu pia wamerekebisha, ni ilikuwa nadaiwa 4.1 imebakia 1.4. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuondolea huu uchuro unaitwa retention fee, ametusaidia sana maana deni lilikuwa haliishi! Nilitumia 7M lakini kwasababu ya retention deni likawa 11..M
 
Baadhi ya Walimu nawakubali hasa wa mikoani akili kubwa mshahara mdogo lakin ana nyumba ya kisasa na mifugo
Au walimu wa mikoani wako illuminati! ila wa daslam kdogo ni chenga sana wanaimba tu beer tamu na kusubiri posho za ccm kwenye uchaguzi
 
Siyo deni tu la HESLB bali hata kwenye mikopo ya taasisi za fedha kuna mabadiliko fulani...pengine tutapata ufafanuzi mbeleni
 
Unaona akili yako ndogo ilikokupeleka tangu mwanzo. Eti mtoa mada anatamba na 1.2 million!! Mtoa mada hakuwa na mwelekeo huo hata kidogo. Kama ni kutamba mtambie mke wako anayekuelewa. Hapa JF umtambie nani. Mi sikufahamu na wewe haunifahamu. Hata kama mshahara wako ni bilioni kwa mwezi, mi itanisaidia nini?
Mkuu huo siyo mshahara wa kuniumiza roho maana wa kwangu unaufunika huo mara tano, sema sipendi maonyesho ya kutambia kipato maana wapo wengi sana wanaona hata huo ninaopata ni punje tu wakilinganisha na vipato vyao.......
 
Unaona akili yako ndogo ilikokupeleka tangu mwanzo. Eti mtoa mada anatamba na 1.2 million!! Mtoa mada hakuwa na mwelekeo huo hata kidogo. Kama ni kutamba mtambie mke wako anayekuelewa. Hapa JF umtambie nani. Mi sikufahamu na wewe haunifahamu. Hata kama mshahara wako ni bilioni kwa mwezi, mi itanisaidia nini?
Kwa hiyo mwalimu umeona ulivyo boya ee, 1.2m ni pesa ya matumizi ya siku moja tu kwa wengine.......kwa hiyo ni uzwazwa kujivunia salary ya 1.2m labda kama umetoka background ya kimaskini sana ndo utaona big deal...naona zile salary slips zako umeziondoa maana ulionekana kituko😃
 
Yes upo sahihi, mimi kwangu pia wamerekebisha, ni ilikuwa nadaiwa 4.1 imebakia 1.4. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuondolea huu uchuro unaitwa retention fee, ametusaidia sana maana deni lilikuwa haliishi! Nilitumia 7M lakini kwasababu ya retention deni likawa 11..M
Kwako

Kwako walitoa rentetion fee na penalty mimi kwangu naona wamepunguza
 
Farerrr sana wewe. Hauna hata akili ya kujua mtoa mada ni nani. Unaweza kweli kuvuka barabara salama bila ya kusaidiwa na mamako kweli wewe? Aliyetoa mada ni huyu hapa chini (Mtamboo). Mi ni Omusolopogasi. Mtoa mada hakutoa mada ili kukuonyesha kuwa 1.2 M anayopata ni nyingi. Hiyo ni akili yako mbovu tu ndio inayo kupeleka huko. Kumbe ungekuwa na mshahara mzuri ungefungua uzi hapa na kuweka salary slip zako. Bahati nzuri unatembeza madodoki mtaani.
1643749698721.png

wa hiyo mwalimu umeona ulivyo boya ee, 1.2m ni pesa ya matumizi ya siku moja tu kwa wengine.......kwa hiyo ni uzwazwa kujivunia salary ya 1.2m labda kama umetoka background ya kimaskini sana ndo utaona big deal...naona zile salary slips zako umeziondoa maana ulionekana kituko😃
 
Kwako
Kwako walitoa rentetion fee na penalty mimi kwangu naona wamepunguza
Kwamba wamepunguza zaidi ya hiyo retention fee na penalt? Mimi kwangu kuna charge flani imebaki kama laki tisa hivi hiyo hawajaiondoa
 
Farerrr sana wewe. Hauna hata akili ya kujua mtoa mada ni nani. Unaweza kweli kuvuka barabara salama bila ya kusaidiwa na mamako kweli wewe? Aliyetoa mada ni huyu hapa chini (Mtamboo). Mi ni Omusolopogasi. Mtoa mada hakutoa mada ili kukuonyesha kuwa 1.2 M anayopata ni nyingi. Hiyo ni akili yako mbovu tu ndio inayo kupeleka huko. Kumbe ungekuwa na mshahara mzuri ungefungua uzi hapa na kuweka salary slip zako. Bahati nzuri unatembeza madodoki mtaani.
View attachment 2104545
Hahaha..........sawa mwalimu, ila usirudie tena kufanya mashindano ya kipato, utaaibika.
 
Unacheka uferer wako. Una tatizo kubwa sana. Unashindana na watu ambao hata hawakuwazi. Unahitaji matibabu... Mtoa mada kaeleweka vizuri lakini akili yako ndogo ikachepuka!!
Hahaha..........sawa mwalimu, ila usirudie tena kufanya mashindano ya kipato, utaaibika.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom