Maajabu haya yapo Tanzania peke yake

Magwa Jr

JF-Expert Member
May 8, 2016
560
615
Hii inatokea TANZANIA peke yake kwakua wametwaa ubingwa ndio wamelazimisha kucheza nyumbani wakati ilipaswa kucheza ugenini hii ndo TANZANIA YETU kila sehemu kumeoza.Mama watoto niongeze ugoro
 
Sishangai viongoz wenu kuwaita WAPUMBAVU na MBUMBUMBU hawakukosea maana wanajua watu wanaowaongoza ni waaina gani
 
Hii inatokea TANZANIA peke yake kwakua wametwaa ubingwa ndio wamelazimisha kucheza nyumbani wakati ilipaswa kucheza ugenini hii ndo TANZANIA YETU kila sehemu kumeoza.Mama watoto niongeze ugoro

Acha bangi au hujui kuwa Yanga mgeni hapo leo?
 
Back
Top Bottom