Sawa lakini walisafirije toka makwao mpaka DSM na baadaye Uwanja wa ndege? Ilikuwa kwa miujiza? Hawakutumia usafiri uliopo kwa taratibu zilizopo? TUSIMJARIBU MUNGU
God is everything and to him everything is possible to him!. They belive in God and he will help them.
Mnawashangaa nini!!!!
Kwani nanyi mnapokaa misikitini/makanisani mnaomba nini???? Eti utasikia mungu tuondolee ufisadi, tuondolee umasikini, sijui tuondolee nini!!!! Mwafikiri hayo yote yanaondoka bila nguvu za mikono yenu???
Mi naona sisi hatutofautiani nao kifikra, tofauti tu sisi, kwa mfano TUNATA TUONDOLEWE UFISADI na hao wasabato WANATAKA USAFIRI WA BURE!!!!
Kwa maana hiyo, WOTE TWAHITAJI KUPELEKWA MIREMBE!!!!!
WAPENDWA KABLA YA KU-THROW STONES TO THEM, KUNA VITU MUHIMU VYA KUVIANGALIA.......!
....... WAO WENYEWE WANASEMAJE ? KWA SABABU HAPA WE GET ONE SIDE OF THE STORY....!
endeleeni watu wa MUNGU, Mungu hufanya wapumbavu na wadhaifu wa dunia hii.......... kuwa wenye hekima na nguvu machoni pake (christian point of view)
Bubu, asante kwa habari hii! Nataka u flshaback na uone kuwa hata mitume wa zamani hawakuwa na hizo passport, visa na hata pesa. Mitume wa sasa hawana tofauti yoyote na wale wa zamani! Tatizo ni kuwa, watu hawana imani kabisa hasa mambo makuu yasiyo ya kawaida yanavyojitokeza. We subiri na utaona wakiondoka na injili itahubiriwa kama wanavyosema.
Duuh!Bongo unafikiri ni rahisi kuishi!!! wajomba wamekaa porini wakaskuti wakaona njia ya kukwea pipa ni kujidai manabii na Mitume!!!
Wabebe basi asali ya mwituni na nzige kama alivyofanya Yohana kisha wakatize hapo Bahari ya Hindi kwa mguu dakika chache tu si watakua washafika mamtoni!!!