Maajabu: Familia ya weusi yapata mtoto mzungu!

Naye akasema akawaambia "...... amin amin nawaambia siku za mwisho zaja nazo zitakuwa na mengi tena mengine hamtayaamini, basi nasema iweni wenye hekima, jiwekeni safi wakati wote mkijitenga na uovu......"
Duh, sasa hiki ni nini tena ???
 
salama mama? kwangu mie itakuwa maajabu kusema kweli kama dna ita prove,blonde,macho ya blue wazazi wapopo?

Safi AW,uko vzr?!..mie mwenyewe nasuburia wapime eti miujiza sijui maajabu yani siamini kabisa..eeh umenichekesha macho ya blu wazazi wapopo!!si umeona mdingi alivyofurahia mtasha?!
 
2uyk2g1.jpg

2u90tx5.jpg



Wazazi weusi wanaoishi London wamebahatika kupata mtoto mweupe kama inavyo onekana kwenye picha.

Kikikutokea kitu kama hichi kule Uswazi-lazima uwe hasusa ya pombe- utakubali ni Miracle au utakimbilia kwa Mkemia Mkuu?

Habari zaidi unaweza kupata kwenye hii link:Black parents give birth to white baby | The Sun |News

lakini mimi nashangaa kabisa yaani hata uafrika kidogo wa mama yake jamani!!! yaani mzungu pyuuuaaa haya maajabu ya aina yake
mix with yours
 
Jamani Jamani Jamani
Mbuzi hazai Kondoo hata kama wote wanakula majani.
Hapo kuna namna! sidanganyiki.
Kwangu nyumbani pasingetosha!
 
Hivi ngoja niulize swali, kwani mtawanyiko wa human races chanzo chake ni nini? Sayansi inatuambieje?
 
Jamani,

Ukweli utabaki pale pale,Hii ndoa inawalakini na mwanamke kweli hakuwa mwaminifu,haiwezekani mweusi kwa mweusi akatokea mzungu,"biological proved wrong"tuwe makini na wake zetu.

Na hao madaktari wanaongopea umma na labda karushwa kadogo kamatumika kumlaghai jamaa



Asante

Elisante Yona


Kwa Mwenyeezi mungu Baba na mama kuwa Mweusi mtoto kutokea mweupe si kitu cha ajabu kwa binadamu ndio kitu cha ajabu
 
Sikataki kuwa maajabu hutokea! Lakini ingenitokea mimi kwa jr wangu nisingeamini mapema, mambo ya DNA muhimu kupruvu kama mimi ndy dingi haswaa, unaweza kuuziwa mwana si wako kweupeeee! kama mwana si wa jamaa huyo mwanamke alaaniwe, na kama ni kweli dogo ni wa mshkaji basi bwana apewe sifa, "WABARIKIWE SANA"
 
Genetics experts wanasema sio Albino.Ukisoma kwenye hiyo link niliyoweka hapo juu unaweza kupata maelezo zaidi.

wanadai hata izo nyele zake ni unusual ata kama angekua mzungu asingezaliwa na long cury blonde hair,dunia inaisha kama tumeanza kuzaa wanasesele.mwe.
 
SNN2005A-380_1088893a.jpg


Wapopo wavyopenda pesa wanaweza kutumiwa kama guinea pigs.

hapo nakubali lazima kuna mchezo wa ki medical umechezwa????mama angekua ka cheat mtoto angetoka half cast lakini huyu ana sura ya kiafrica na ngozi ya kizungu na nyele hata sijui genes zimejichanganyaje!!!!may be mavyakula ya kizungu(nahisi tu ata sijui is so confusing)
 
Asilimia 49 ya watoto wanaozaliwa kwenye ndoa sio wa baba wa nyumba. Mchepuko kama kazi. Akizaliwa chotara ni ajali kazini. Ni juu yake baba wa nyumba. Akitaka asuke au anyoe. Kwani yeye anapachika mabao mangapi huko nje? Wache wenzie nao wamsaidie ndani. Hapa kazi tu.
 
Hata kama angegawa kwa Mtasha basi asilimia kubwal mtoto angekuwa kachanganya na sio pure blonde blue eyes manywele dhahabu kama huyu kama alivyosema jamaa : Ben also stressed: "My wife is true to me. Even if she hadn't been, the baby still wouldn't look like that"
Vile vile kuna mabingwa wa genetics ambao wamethibitisha huyo mtoto ni mzungu na sio mix race ama albino na ni wa huyu dada, sidhani kama hawa mabingwa wanakurupuka tu lazima wameshafanya maternity test na kuthibitisha na hata ukimuangalia huyu mtoto features zake pua, mdomo nk ni kafanana na mama yake, vilevile wakati wa kujifungua hospitali kunakuwa na wakunga ambao wanampokea kiumbe anapotoka shimoni kwa mama, kwa hio walimuona kabisa akitoka mzungu.
It still puzzle me how? But I have ruled out any involvement of Smith " the milk-man" and joe the "post-man" Labda mama alipandikizwa Embryo (Surrogacy as gestational carrier) kinyemela.
Vilevile inawezekana huyu mtoto atabadilika ngozi na nywele kadiri anavyokuwa, binafsi mwanangu alizaliwa Mdosi kabisa! lakini alibadilika kuanzia miezi 3.

hivi na wewe ulitoka shimoni eeh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom