Maajabu: Daraja la Furahisha Mwanza lajengwa kwa Bil 4.7, kumbuka hostel za UDSM zilijengwa kwa bil 10

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Maajabu hayataacha nchi hii salama na uwongo wa kiongozi mkubwa hapa nchini.

Hilo daraja la furahisha mkandarasi ni yuleyule TBA kalijenga kwa bil 4.7 ila zile hostel za uDSM walijenga kwa bil 10.

Tusaidiane na ukweli usemwe wanaompinga zito hawako timamu

IMG-20171030-WA0066.jpg

Hili ndilo Daraja la furahisha lililipo jijini Mwanza.
UDSM.jpg

Haya ni majengo 20 yenye ghorofa nne kila jengo na yana uwezo wa kuhudumia wanafunzi 4,000 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
 
Yaani huko upinzani hamfudishwi jinsi ya kushusha nondo.. oops nimesahau
Nyie wakurupukaji hata mada zilizoenda shule hamuwezi kuziandika.
 
Maajabu hayataacha nchi hii salama na uwongo wa kiongozi mkubwa hapa nchini.

Hilo daraja la furahisha mkandarasi ni yuleyule TBA kalijenga kwa bil 4.7 ila zile hostel za uDSM walijenga kwa bil 10.

Tusaidiane na ukweli usemwe wanaompinga zito hawako timamu

View attachment 620702
acha uongo nenda kafanye uchunguzi kwanza,
mkandarasi hapa si TBA bali ni nyanza road works, ujenzi wa daraja umehusisha pia barabara umbali wa km 2 toka furahisha mpaka pasiansi.
 
Hatutaki malumbano Hostel tumeziona Hilo daraja leo pia tumeliona! Zamani hatukuona Hostel pia hatukuona Daraja! Bora nn??? Mnapenda kupinga kila kitu! Why? Watu wakila fedha mnasema mafisadi! Wakikamatwa Rais dikteta uchwara! Haya leo aliyegawa vitalu na kusafirisha Twiga kwenda Uarabuni anaulizwa! Vp babu ilikuwaje? Vibali vya uwindaji vimefutwa MTU anakimbia mchana kweupe na kusema siasa za kula utamu hataki tena anaomba hifadhi CDM! Kweli kuna WATZ wa kuwadanganya hivyo nowadays! Sasa hivi wapiga deals wakiguswa tu hii govt acha iwe mbaya tuheshimiane! Cyo ilivyokuwa. Mtalialia but mtaelewa kwani always time will tell!
 
Maajabu hayataacha nchi hii salama na uwongo wa kiongozi mkubwa hapa nchini.

Hilo daraja la furahisha mkandarasi ni yuleyule TBA kalijenga kwa bil 4.7 ila zile hostel za uDSM walijenga kwa bil 10.

Tusaidiane na ukweli usemwe wanaompinga zito hawako timamu

View attachment 620702
Ni daraja pamoja na upanuzi wa barabara acheni ushabiki wa kipuuzi namba hii nchi yetu sote kwa nini mnataka utawala ushindwe akishindwa tumrshindwa wote nyumbu nyie
 
Hosteli zimejengwa na Daraja limejengwa wewe endelea kushangaa tu na data zako za kupika za Zitto.
Maajabu hayataacha nchi hii salama na uwongo wa kiongozi mkubwa hapa nchini.

Hilo daraja la furahisha mkandarasi ni yuleyule TBA kalijenga kwa bil 4.7 ila zile hostel za uDSM walijenga kwa bil 10.

Tusaidiane na ukweli usemwe wanaompinga zito hawako timamu

View attachment 620702
 
watz nasi tumezidi..
unakuta anaepinga hajui ukandarasi,ubora wa kitu kilichojengwa ambapo hilo linaangaliwa na muda wa kile kilichojengwa kuwa kitahimili hapo kwa muda gani n.k n.k
 
Iwe ni kwa gharama za ukweli ama uongo siyo issue.
Issue ni kwamba miundombinu inajengwa.
 
Back
Top Bottom