Maajabu: CHADEMA washangilia baada ya Ripoti ya Twaweza Kusema inapendwa na Wasomi

Wachache so Literally ile report imeweza kuijuza Tanzania Kuwa CHADEMA wana Kazi Kazi Kubwa kutushawishi sisi tusiokua na Elimu.

Mara nyingi Elimu yetu huwa inakua na Watu wachache wanaofika ngazi ya Usomi.

So CHADEMA mjiandae Kupigwa viboko Vya Pua tena kwani Chama chenu Kinapendwa na Wasomi
Mkuu hongera sana. Naona upo kazini na book 7 kila siku..!!! Pia nadhani unafukuzia teuzi. Huoni kina lizaboni wamechoka. Na wewe utachoka. Serikali hii ukijipendekeza ndo umeharibu kabisa.
 
Hapa umenena. Lakini utaambulia matusi ya kutosha.
UKweli gani mkuu??? Yaani wasomi wwe unaelewaje?? Kwamba mpaka awe na phd ama??? Na je kila msomi mpaka avae gwanda ndio aisupport chadema??? Je ile 43 percent ya uchaguzi ilitoka kwa wasomi pekee??

Jiongezeni hapo wanachomaanisha kila mwenye reasoning capacity kubwa HAWEZI KUCHAGUA CCM
 
Upo mbali na ripoti, yani wewe nahisi unajua kusoma na kuandika tuu, cjui km hata unajua hyo report ilitoka lini, lopolopo km lepolepo, mmelogwa nyie, acha kizazi kijacho kije kuwahukumu wote Nzi wa kijani mlokunywa maji ya bendera.
Nimesoma zaidi yako, mjukuu wangu.
 
Halafu wasomi wenyewe ni wale ambao wamekuwa frustrated kwa kukosa vyeo serikalini au kwa kutumbuliwa kwa tabia ya ufisadi. Wasomi wa kweli waliofanikiwa katika maisha huwa hawajishughulishi na masuala ya siasa na hata huwa hawaendi kupiga kura.

Vyama vya siasa mtaji wao ni wa wanyonge. Dhamira ya vyama hivi ni kuwakomboa wanyonge na si wasomi. Ukiona msomi anashabikia chama cha siasa lengo lake ni kutafuta cheo cha madaraka. Hivyo TWAWEZA wamebainisha kuwa chadema si chama cha wanyonge bali chama cha wasaka tonge, na kitaendelea kubwagwa kwenye kura za chaguzi mbali mbali.
Unajua Tanzania yetu ni ya ajabu kweli. Ndiyo maana sishangai hata kwenye level ya kazi za kimataifa hawa wanaojiita "waliosomana wenye elimu" wanashindwa kupita kwenye interviews, thus ni nguli ndani ya nchi yao wenyewe.
Kama tunaendelea kuwa na mawazo ya kina Dr. Akili, tuna safari ndeeeeefu ya kujikomboa vichwani.

Hivi Dr. Akili, hujui kuwa kila msomi lazima aiheshimu siasa? Unadhani kwa uelewa wako wasomi hawatakiwi kujihusisha na siasa? Ama kweli uukistaajabu yya Musa utaona ya Firauni.

Baba siasa ni maisha ya taifa au jamii husika. Wasomi nd i yo haswa wanapaswa kujihusisha. Na siasa ya nchi yao ili iende. Ukiachia akina Idd Amin waliopaata kutawala kwa bahati chunguza nchi gani duniani ambazo zinaongozwa na wasii na elimu!!!!!!! ¿???

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka wapendwe na wanywa viroba?
FB_IMG_1487821568145.jpg
 
Katika vitu vya ajabu nimeona Mashabiki/Wakereketwa/Misukule wanashangilia ni Pale waliposikia chadema Inapendwa na Wasomi huku CCM ikipendwa na Watu waliokua na Elimu na wa vijijini.

Nilitegemea CHADEMA watalipinga hili kwa Kutaka Kufanya Utafiti lakini wamelikubali Jinsi Lilivyo kama sifa.

Siasa ni Mtaji wa watu na tunajua Wasomi Katika Jamii Yeyote ile Duniani ni Wachache so Literally ile report imeweza kuijuza Tanzania Kuwa CHADEMA wana Kazi Kazi Kubwa kutushawishi sisi tusiokua na Elimu.

Mara nyingi Elimu yetu huwa inakua na Watu wachache wanaofika ngazi ya Usomi.

So CHADEMA mjiandae Kupigwa viboko Vya Pua tena kwani Chama chenu Kinapendwa na Wasomi.
Chadema leo hawana muda wa kuhoji utafiti wa twaweza kama kipindi kile kabla ya uchaguzi, hawasemi kuwa twaweza na taasisi ya ccm, hawahoji sample ilo tumika, hawahoji methodology ilotumika,? Leo chadema wanaikubali twaweza??? Kweli chadema wanasifa zoooote za Mnyama aitwaye nyumbu ( gugo sifa za nyumbu utakubaliana na mm)
 
CHADEMA inapendwa na Wasomi alafu inaongozwa na asie Soma, Mbowe
 
Weeee zitto junior, kijana usitafute kick kupitia kwangu. Wenzako wanakukimbia kwa kukuona hauna jipya unataka kuja kwangu. Sidanganyiki hata kwa gongo au pipi!
We jibu swali kwamba sababu ipi itafanya mtu mwenye reasoning hta ya kuzaliwa tu aende ccm??? Nipe mafanikio machache tu hta moja la CCM toka uhuru nipe moja tu na mmi ntafuata kadi ya ccm kesho asubuhi
 
Chadema leo hawana muda wa kuhoji utafiti wa twaweza kama kipindi kile kabla ya uchaguzi, hawasemi kuwa twaweza na taasisi ya ccm, hawahoji sample ilo tumika, hawahoji methodology ilotumika,? Leo chadema wanaikubali twaweza??? Kweli chadema wanasifa zoooote za Mnyama aitwaye nyumbu ( gugo sifa za nyumbu utakubaliana na mm)
Hawahoji?? Press release ya chadema si imesema bado haitambui tafiti ya TWAWEZA au wwe chadema ni hawa wenye ID feki??? Embu reason mkuu
 
We jibu swali kwamba sababu ipi itafanya mtu mwenye reasoning hta ya kuzaliwa tu aende ccm??? Nipe mafanikio machache tu hta moja la CCM toka uhuru nipe moja tu na mmi ntafuata kadi ya ccm kesho asubuhi

HAKUNA ila huko tuendako ni shwari kuliko kujiunga na wasiojitambua, ikiwa kiongozi mwenyewe ni wewe.
 
HAKUNA ila huko tuendako ni shwari kuliko kujiunga na wasiojitambua, ikiwa kiongozi mwenyewe ni wewe.
Mkuu tofautisha kati ya zitto na zitto junior..... na huyo zitto utamlinganisha na IQ yako ndogo hivi????

Ssa kma hakuna mafanikio hata moja unatuaminishaje huko mbele kuna mwanga wakati majizi yaliyotufikisha hapa tulipo bado yamejazana serikalini na chama dola???
 
Ni wewe ndiye Zitto.....tuna dataz hapa na anuani yako ukitaka nitakuwekea humu humu.
 
Back
Top Bottom