Maajabu: CHADEMA washangilia baada ya Ripoti ya Twaweza Kusema inapendwa na Wasomi

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,305
2,000
Katika vitu vya ajabu nimeona Mashabiki/Wakereketwa/Misukule wanashangilia ni Pale waliposikia chadema Inapendwa na Wasomi huku CCM ikipendwa na Watu waliokua na Elimu na wa vijijini.

Nilitegemea CHADEMA watalipinga hili kwa Kutaka Kufanya Utafiti lakini wamelikubali Jinsi Lilivyo kama sifa.

Siasa ni Mtaji wa watu na tunajua Wasomi Katika Jamii Yeyote ile Duniani ni Wachache so Literally ile report imeweza kuijuza Tanzania Kuwa CHADEMA wana Kazi Kazi Kubwa kutushawishi sisi tusiokua na Elimu.

Mara nyingi Elimu yetu huwa inakua na Watu wachache wanaofika ngazi ya Usomi.

So CHADEMA mjiandae Kupigwa viboko Vya Pua tena kwani Chama chenu Kinapendwa na Wasomi.
 
Giltami

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
709
1,000
Ni kweli wasomi wengi ndio wanaoipenda chadema nadhani ni kwa sababu wamekutana na dhuruma za kiutawala ndio maana na mtu akisha soma huwa anapenda kujaribu vitu vipya ndio maana sasa wasomi wanataka kuijaribu chadema kama itaweza kutawala
 
Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,305
2,000
Umaskini na ukosefu wa Elimu kwa wananchi ni MTAJI wa CCM.

Ndio maana CCM haitakaa iondoe Umaskini na kutoa Elimu bora kwa watanzania, wanajua wakifanya hivyo watang'oka.

Twaweza mko sawa tu..!
Ndiyo Vizuri kwa sababu Mtaji wa Siasa ni Watu
 
Kahise

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
330
500
Ni lazima CDM ifurahi kwa sababu Twaweza is another arm of Chama cha Makinikia, kwa ajili ya kutoa supoort ya kuudandanya ulimwengu. Mimi nilidhani, hawa ndugu wa Twaweza wangesubiri huyo mkuubwao aache kuukandamiza upinzani ayoe haki ya kufanya siasa kwa usawa kisha wafanye hiyo tathmini uchwara!!!

CHADEMA bado iko juu juu juuuuu kabisa
 
Uss nathan james

Senior Member
Apr 27, 2017
101
225
Kwa hili wala sishangai maana ccm imekuwa ni jalala la kila mwananchi aliye na elimu asiye na elimu. japo kwa upande mwingine ni ubaguzi wa hali ya juu chama kuwa na watu wasomi pekee
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
3,290
2,000
Katika vitu vya ajabu nimeona Mashabiki/Wakereketwa/Misukule wanashangilia ni Pale waliposikia chadema Inapendwa na Wasomi huku CCM ikipendwa na Watu waliokua na Elimu na wa vijijini.

Nilitegemea CHADEMA watalipinga hili kwa Kutaka Kufanya Utafiti lakini wamelikubali Jinsi Lilivyo kama sifa.

Siasa ni Mtaji wa watu na tunajua Wasomi Katika Jamii Yeyote ile Duniani ni Wachache so Literally ile report imeweza kuijuza Tanzania Kuwa CHADEMA wana Kazi Kazi Kubwa kutushawishi sisi tusiokua na Elimu.

Mara nyingi Elimu yetu huwa inakua na Watu wachache wanaofika ngazi ya Usomi.

So CHADEMA mjiandae Kupigwa viboko Vya Pua tena kwani Chama chenu Kinapendwa na Wasomi.
Halafu wasomi wenyewe ni wale ambao wamekuwa frustrated kwa kukosa vyeo serikalini au kwa kutumbuliwa kwa tabia ya ufisadi. Wasomi wa kweli waliofanikiwa katika maisha huwa hawajishughulishi na masuala ya siasa na hata huwa hawaendi kupiga kura.

Vyama vya siasa mtaji wao ni wa wanyonge. Dhamira ya vyama hivi ni kuwakomboa wanyonge na si wasomi. Ukiona msomi anashabikia chama cha siasa lengo lake ni kutafuta cheo cha madaraka. Hivyo TWAWEZA wamebainisha kuwa chadema si chama cha wanyonge bali chama cha wasaka tonge, na kitaendelea kubwagwa kwenye kura za chaguzi mbali mbali.
 
WilliK10

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
601
500
Katika vitu vya ajabu nimeona Mashabiki/Wakereketwa/Misukule wanashangilia ni Pale waliposikia chadema Inapendwa na Wasomi huku CCM ikipendwa na Watu waliokua na Elimu na wa vijijini.

Nilitegemea CHADEMA watalipinga hili kwa Kutaka Kufanya Utafiti lakini wamelikubali Jinsi Lilivyo kama sifa.

Siasa ni Mtaji wa watu na tunajua Wasomi Katika Jamii Yeyote ile Duniani ni Wachache so Literally ile report imeweza kuijuza Tanzania Kuwa CHADEMA wana Kazi Kazi Kubwa kutushawishi sisi tusiokua na Elimu.

Mara nyingi Elimu yetu huwa inakua na Watu wachache wanaofika ngazi ya Usomi.

So CHADEMA mjiandae Kupigwa viboko Vya Pua tena kwani Chama chenu Kinapendwa na Wasomi.
Chadema yupi kashangilia? Lini Twaweza waliweza kuja na tafiti zaidi ya uharo?
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,842
2,000
Katika vitu vya ajabu nimeona Mashabiki/Wakereketwa/Misukule wanashangilia ni Pale waliposikia chadema Inapendwa na Wasomi huku CCM ikipendwa na Watu waliokua na Elimu na wa vijijini.

Nilitegemea CHADEMA watalipinga hili kwa Kutaka Kufanya Utafiti lakini wamelikubali Jinsi Lilivyo kama sifa.

Siasa ni Mtaji wa watu na tunajua Wasomi Katika Jamii Yeyote ile Duniani ni Wachache so Literally ile report imeweza kuijuza Tanzania Kuwa CHADEMA wana Kazi Kazi Kubwa kutushawishi sisi tusiokua na Elimu.

Mara nyingi Elimu yetu huwa inakua na Watu wachache wanaofika ngazi ya Usomi.

So CHADEMA mjiandae Kupigwa viboko Vya Pua tena kwani Chama chenu Kinapendwa na Wasomi.
Alafu hao wasomi ni ktk ile 17%.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,315

Tena mimi nasema ni wasomi uchwara.
 
izzo

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,817
2,000
Duniani hakuna nchi yeyote ambapo chama kiliwekwa madarakani na wasomi kwani siku zote wasomi hasa wa kiafrica hawapo tayari kupanga foreni zaidi ya masaa 4 kwa ajili ya kupiga kura pia unaposema wasomi je tafasiri ya mtu kuitwa msomi Tanganyika ni mtu mwenye kumiliki cheti cha kiwango gani cha elimu? maana ninavyojua Tanganyika hakuna wasomi bali kuna watu wanamiliki vyeti vya viwango tofauti vya elimu
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
11,617
2,000
Ndiyo Vizuri kwa sababu Mtaji wa Siasa ni Watu
Hahahhahha kwahyo ulitegemea mtu mwenye elimu anaweza kweli kuipigia kura CCM?? hao iliterate mikoa kma dodoma na tabora inatuangusha sana wanamageuzi!!! Ila kma hujui majimbo yenye kura nyingi ya kumua rais yapo miji iliyoelimika talk about mwanza kagera dar arusha mbeya!! Wapinzani wakiweza iretain hyo basi CCM itafutwa tu hivi karibuni of course tume huru ikiwemo pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom