Maajabu: Bibi anayeota pembe kama mbuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu: Bibi anayeota pembe kama mbuzi

Discussion in 'Jamii Photos' started by M-bongotz, Mar 10, 2010.

 1. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Bibi huyu anaitwa Zhang Ruifang raia wa China mwenye umri wa miaka 101 ameota pembe moja kwenye paji lake la uso na nyingine inaanza kuchomoza upande mwingine.,angekuwa anaishi Bongo huyu hususani mikoa ya kanda ya ziwa si ajabu angekuwa amekwishauawa kwa kuhofiwa kuwa ni mchawi.

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mbona pembe nyeusi mkuu!!
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aje tumuombee...
  Ni mapepo yanayomsumbua.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hapo umenena...binadamu hakuumbiwa kuwa na pembe...huyu lazima ana uhusiano na lusifer
   
 5. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Ulitaka iwe rangi gani nyekundu au njano??
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  duh!!!! ana miaka 202.5
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmh hayo akifanyiwa operation yanatoka au umri nao!!
   
 8. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,355
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  hata kucha nalo si la kawaida kwa binadamu! We chunguza kucha kwenye picha.
   
 9. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I will believe if it can be proven biologically?!

  Hiki sio kitu cha kawaida, inawezekana imewekwa kisanii!

  Fuvu la kichwa kutoa pembe za mbuzi?!

  Bado haijaniingia akilini!
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  very true.
   
Loading...