Maajabu 20 ya tunda la stafeli katika tiba

Tunda lake ni bora zaidi kuliko hayo majani.
Kuna nchi (nimeisahau jina lake) wamepiga marufuku tunda hilo kuuzwa kwa sababu dawa nyingi zinakosa soko na badala yake watu huamia kujitibu kwa stafeli.

Kuna magonjwa na kinga ya mwili zaidi ya 30 hutatuliwa kwa hilo tunda na katika hilo asilimia zaidi ya 60 ni magonjwa ya jamii zetu hizi... So ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom