Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 2,668
- 4,885
Wiki mbili zilizopita Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa alitembelea Mwendokasi Dar es Salaam, aligundua madudu ikiwemo tiketi feki za kusafiria yule jamaa alipewa maiki akapata kigugumizi kaishia wapi, maana tuliambiwa Mamlaka yake ya Uteuzi inapewa taarifa, mbona hatujapata mwendelezo?