Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,099
Mie naona labda Mh.Mama yetu Rais imefika muda kwa mstakabali wa reconciliation na kuanza ukurasa mpya, hao mashehe aagize waachiwe tu,nina imani adhabu ya kukaa kwao gerezani miaka yote hii ni tosha hata kama walitenda/ hawakutenda makosa, naona itakuwa vigumu kuweza kujaribu tena kujihusisha na harakati ambazo zitakuwa kinyume na sheria....kazi iendelee.Mama amefeli mapema sn