Maagizo ya Rais Samia kwanini hayafanyiwi kazi kwa wakati?

ila hao wa Voda... ndio wameonesha dharau kubwa sana.....

napata wasiwasi hata kama maelekezo mengine kma ya bodi ya mikopo, NHIF yatafanyiwa kazi
 
Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho?

Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya

Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria.

Report ya CAG mpaka sasa kimya

Suala la bundle mpaka leo voda na airtel bado wamegoma kurudisha bundle za zamani

Suala la kulikemea Bunge kwamba wawe wana discuss issue ambazo zinahusu taifa juzi tu Ndugai katapika tena eti anamkemea Nape kwa kuwasema wabunge wa viti maalumu.

Sasa tutasema tuna Rais hapa Rais ambaye akitoa maelekezo watu hawafanyi?

Nasisitiza nipo na Mama kwenye suala la kufufua uwekezaji nchini lakini sikubaliani yeye kushindwa kusimama kwenye uzembe na uwajibikaji wa watu wote walio chini yake.

Afanye maamuzi magumu sometime asiwe Rais Dhaifu.
Kuna mambo hayawezi kutekelezwa overnight mkuu.
Mambo ya kesi yakiwa mahakamani huo ni muhimili mwingine haiwezekani watu wakaachiwa kama ng'ombe toka zizini lazima baadhi ya vifungu vipitiwe kukamilisha mchakato.
Ikiwa utaratibu hautofuatwa hasa kwa kesi nyeti kama madai ya ugaidi serikali itajijuta inawalipa watu fidia kubwa sana wakiamua kudai fidia
 
Vingozi wengi wa Tz hawaendi bila fimbo, Mama aanze na kuwatumbua, na aweke watu ambao wako kikazi sio upigaji na uvivu
 
Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho?

Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya

Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria.

Report ya CAG mpaka sasa kimya

Suala la bundle mpaka leo voda na airtel bado wamegoma kurudisha bundle za zamani

Suala la kulikemea Bunge kwamba wawe wana discuss issue ambazo zinahusu taifa juzi tu Ndugai katapika tena eti anamkemea Nape kwa kuwasema wabunge wa viti maalumu.

Sasa tutasema tuna Rais hapa Rais ambaye akitoa maelekezo watu hawafanyi?

Nasisitiza nipo na Mama kwenye suala la kufufua uwekezaji nchini lakini sikubaliani yeye kushindwa kusimama kwenye uzembe na uwajibikaji wa watu wote walio chini yake.

Afanye maamuzi magumu sometime asiwe Rais Dhaifu.
Wnamkwamisha kwa makusudi
 
Kuna mambo hayawezi kutekelezwa overnight mkuu.
Mambo ya kesi yakiwa mahakamani huo ni muhimili mwingine haiwezekani watu wakaachiwa kama ng'ombe toka zizini lazima baadhi ya vifungu vipitiwe kukamilisha mchakato.
Ikiwa utaratibu hautofuatwa hasa kwa kesi nyeti kama madai ya ugaidi serikali itajijuta inawalipa watu fidia kubwa sana wakiamua kudai fidia
Uko sahihi ila kuna wanasharia Wengi wa Serikali na sheria sio kitu cha kutafuta kimeandikwa, ni uzembe na uvivu, kwani ingetakiwa ndani ya wiki moja wameshamaliza mambo ya sheria na kutoa taarifa kama wana makosa au hapana
 
Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho?

Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya

Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria.

Report ya CAG mpaka sasa kimya

Suala la bundle mpaka leo voda na airtel bado wamegoma kurudisha bundle za zamani

Suala la kulikemea Bunge kwamba wawe wana discuss issue ambazo zinahusu taifa juzi tu Ndugai katapika tena eti anamkemea Nape kwa kuwasema wabunge wa viti maalumu.

Sasa tutasema tuna Rais hapa Rais ambaye akitoa maelekezo watu hawafanyi?

Nasisitiza nipo na Mama kwenye suala la kufufua uwekezaji nchini lakini sikubaliani yeye kushindwa kusimama kwenye uzembe na uwajibikaji wa watu wote walio chini yake.

Afanye maamuzi magumu sometime asiwe Rais Dhaifu.
Anawavutia kasi ,atawavulumisha mpaka wakose pakutokea, subili mda ni mwalim ila pia pamoja na kwamba tunaenda fungua biashara Kati ya kenya na tz ila sio kigezo kwamba pasiwepo kufuata sheria na taratibu za nchi zote mbili.

Hili ni swala pia mh KENYATTA alisisitiza, kwamba vikwazo vya kufanya biashara Kenya vinaondolewa ali Hali taratibu na sheria za nchi hiyo zifuatwe, hivyo hivyo kwetu, kwamba mpaka kwenye kuvua samaki kusafirisha mazao ya uvuvi vipo vibali, lesen Kama ilivyo sisi watz tunavyotakiwa kia navyo Basi hata majirani lazima fuata taratibu vinginevyo kua mashirikiano ya nchi na nchi hakuondoi misingi yatokufuata taratibu na sheria za nchi husika
 
Kuna challenges anazokutana nazo huyu mama lazima zimtoe jasho, japo nyingine naona ziko ndani ya uwezo wake kabisa.

Mfano hilo la masheikh wa uamsho hata wenzake liliwatoa jasho, japo naamini serikali ndio haijaamua kuwa serious kusikiliza hiyo kesi, video za mahubiri ya yale jamaa zikitumika na kauli zao makosa yao yapo wazi.

Kuhusu vifurushi vya simu hili ndio linafanya nimuone Rais yuko "soft" sijui ni kitu gani haswa kinachomshinda, kitendo cha kutoa agizo halafu lisitekelezwe ni dharau, hawa jamaa wa makampuni ya simu sijui wanajiamini nini, au labda ni ule "udhamini" wanaowapa CCM wakati wa kampeni za uchaguzi.
Uamusho ni ugaidi
 
Awaondoe wafuasi wa Magufuli short of that she is going nowhere
Positive, nilishangaa jana wa kesi ya Rugemalila na Singasinga walipo mwambia Judge kwamba upelelezi wa kesi yao bado hajakamilika, yaani karibu miaka mitano inakatika washukiwa bado wako korokoroni na wapelelezi wa Serikali hawaonyeshi nia dhabiti ya kupata ufumbuzi wa suala hili tata na wala hawajali lolote kuhusu haki za binadamu wenzao, unaweza kuozea rumande kama mwenye mamlaka ana nia ya kukukomoa, na hiki ndicho kinacho endelea kwenye kesi ya Rugemalila na wenzake!!!
 
Kama lille takataka lililobambika watu mikesi kwa maelekezo ya Jiwe bado lipo unategemea nini? nashangaa hadi sasa Biswalo bado yuko Ofisini
 
Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho?

Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya

Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria.

Report ya CAG mpaka sasa kimya

Suala la bundle mpaka leo voda na airtel bado wamegoma kurudisha bundle za zamani

Suala la kulikemea Bunge kwamba wawe wana discuss issue ambazo zinahusu taifa juzi tu Ndugai katapika tena eti anamkemea Nape kwa kuwasema wabunge wa viti maalumu.

Sasa tutasema tuna Rais hapa Rais ambaye akitoa maelekezo watu hawafanyi?

Nasisitiza nipo na Mama kwenye suala la kufufua uwekezaji nchini lakini sikubaliani yeye kushindwa kusimama kwenye uzembe na uwajibikaji wa watu wote walio chini yake.

Afanye maamuzi magumu sometime asiwe Rais Dhaifu.
Akisimamia utekelezaji kisawa sawa mtamuita dikteta so vumilia.....
 
Kiaina naona kama vile unamkumbuka kwa mazuri japo utapinga
 
Jamaa ana hoja povu za nini!? hebu tuambie kwenye matamko ya Mama lipi limetekelezwa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Soma hapo👇👇
Umejuaje kuwa Masheikh wa Uamsho wamebambikiwa kesi ?

Wengi tunapenda Uamsho watendewe haki. Kama ni dhamana wapewe na kama wana hatia basi wafungwe ifahamike. Na kama hawana hatia waachiwe.

Kitu ambacho hakitakiwi ni kuwaweka watu mahabusu Miaka 10 au zaidi. Huu ni upuuzi kwasababu siku wakikutwa hawana hatia utawalipa fidia ya muda wao?

Wewe unamiliki chombo cha habari ?

Mmiliki gani wa chombo cha habari umesikia analalama kwamba chombo chake kimekataliwa.

Ninavyojua Kubenea mpaka sasa ameshakutana waziri husika na labda wapo kwenye process.

Kuhusu Mbowe na Tanzania Daima sijui.

Maria Sarungi wa Kwanza TV mwenyewe kasema haendi na mpaka sasa kashaanzisha channel mpya Mwanzo TV.

Kufungua biashara tafsiri yake siyo kwamba biashara zifanyike kiholela. Kwamba kwasababu biashara zimefunguliwa ndio wavuvi wa Tanzania wakavue samaki kiholela upande wa Kenya?

Una akili wewe kweli?

Report ya CAG kwa upande wa serikali tayari, kwasasa iko stage ya bunge.

Bunge liko kimya then unamlaumu Rais, kweli?

Sote tulikuwa tunalia hapa uhuru wa bunge leo tena tunataka Rais aburuze bunge !!!

Kwamba Rais aingilie mpaka makampuni binafsi ayalazimishe namna ya kupanga bei ya bidhaa zao, siyo?

Binafsi natumia VodaCom na Halotel. Bundle za Voda hazijawahi kuwa cheap. Na hii ni kutokana na kasi na ubora wa internet yao ukilinganisha na mitandao mingine.

Usilazimishe kupata kitu bora kwa bei kitonga. Ukiona Voda hawajabadili au wamebadili kidogo maana yake wateja wake wengi wanamudu kununua hivyo hivyo. Kuna mitandao 4 nchi hii, hamia penye unafuu. Achana na kampuni za watu.

Mimi mwenyewe bundle natumia Halotel, ikitokea watu wote wakayasusa mabando ya Voda automatically wao wenyewe watarekebisha.

Magu alikuwa anadhibiti bunge tunalalamika. Leo tena tunataka Rais adhibiti bunge,!!

Rais atakachofanya ni kutoa ushauri lakini kutaka kulazimisha Rais aingie kwenye midomo na akili za wabunge na kuwalazimisha namna ya kuongea. Huu ni upumbavu.

Sote tunajua akili za wabunge waliomo mle ndani.

Huna akili.
 
Makampuni ya simu yameonesha dharau kubwa sana toka alivyowaambia warudishe vifurushi ya zamani wamejifikiria weeee
 
SSH anabadilisha mahindi kwa kukubali wakenya waje Tz kufanya kazi kama uani kwao, such a naive and weak president.
 
kigogo kashambatiza rais wetu kwa kumuita "JUMONG" sijui kakosa teuzi ama kuna shida gani

rais apewe muda makelele yamezidi mno.
 
Kuna challenges anazokutana nazo huyu mama lazima zimtoe jasho, japo nyingine naona ziko ndani ya uwezo wake kabisa.

Mfano hilo la masheikh wa uamsho hata wenzake liliwatoa jasho, japo naamini serikali ndio haijaamua kuwa serious kusikiliza hiyo kesi, video za mahubiri ya yale jamaa zikitumika na kauli zao makosa yao yapo wazi.

Kuhusu vifurushi vya simu hili ndio linafanya nimuone Rais yuko "soft" sijui ni kitu gani haswa kinachomshinda, kitendo cha kutoa agizo halafu lisitekelezwe ni dharau, hawa jamaa wa makampuni ya simu sijui wanajiamini nini, au labda ni ule "udhamini" wanaowapa CCM wakati wa kampeni za uchaguzi.
Wao wanawadhamini CCM hayo ni matatizo yao mimi hela yangu haiwahusu.

Ni hivi KWANI HUO MTANDAO NI WA MAMA/BABA YAKO?

HAMA
 
Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho?

Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya

Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria.

Report ya CAG mpaka sasa kimya

Suala la bundle mpaka leo voda na airtel bado wamegoma kurudisha bundle za zamani

Suala la kulikemea Bunge kwamba wawe wana discuss issue ambazo zinahusu taifa juzi tu Ndugai katapika tena eti anamkemea Nape kwa kuwasema wabunge wa viti maalumu.

Sasa tutasema tuna Rais hapa Rais ambaye akitoa maelekezo watu hawafanyi?

Nasisitiza nipo na Mama kwenye suala la kufufua uwekezaji nchini lakini sikubaliani yeye kushindwa kusimama kwenye uzembe na uwajibikaji wa watu wote walio chini yake.

Afanye maamuzi magumu sometime asiwe Rais Dhaifu.

Baada ya siku 100 ndoo ndio tutapata picha halisi ya uwezo wa huyo mama.
 
Back
Top Bottom