Maagizo ya Rais Magufuli yapuuzwa Bandari ya Dar

Mbatizaji Mkuu

New Member
Jul 19, 2020
3
45
Mnada Wa bandari TPA unakiuka maelekezo ya Rais Magufuli

Kunatarajiwa kuwepo mnada wa vyuma chakavu katika bandari ya Dar badala ya Mnada wa Magari yaliyokaa muda mrefu kitu kinachokiuka Maagizo ya Rais alipotembelea bandarini hapo na kuagiza magari yanayokaa muda mrefu yafanyiwe mnada na sio yaache yaharibike au wajiuzie wenyewe kwa wenyewe kwa siri.

Lakini pia ipo kashfa ya mahindi tani za kutosha yaliyouzwa kama vyakula vya wanyama jambo ambalo ni aibu kwa bandari kubwa kama ya Dar.

Malalamiko haya ymetolewa na Madalali wa Bandari hiyo wakati wakizungumza na kituo cha habari cha redio 5 wakituhumu uwepo wa kigogo anaekwamisha Maelekezo ya Rais Magufuli.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom