Maagizo ya Magufuli kwa Halmashauri ya Kigamboni; "Jengeni ofisi ya CCM". Hivi ni mimi nisiyemuelewa Rais au kuna wengine pia?

Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;

View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
Shida ni kuwa maagizo ya kutolewa na mwenyekiti wa chama yanatolewa na rais... amesahau kuwa alikuwa kwebye ziara ya kiserikali na si kichama
 
Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;

View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
Siku hizi pesa zote ni za serikali na CCM na ndicho kilichoitajirisha ghafla CCM.
 
Rais Magufuli siku zote anajua kisichopendwa na wapinzani( iwe mtu, chama, kitu,n.k) ndio chenye manufaa na umuhimu mkubwa kwa Serikali na nchi.

Nakubaliana na Rais wetu kwa mtazamo huu hasa hususani ujenzi wa ofisi za CCM
 
Kuna wakati najaribu kumwelewa raisi wangu Magufuli ili angalau niendane na kasi yake, lakini karibu kila ninapojaribu kufanya hivyo, ninashindwa kwa 85%. La hivi karibuni ni haya magizo aliyotoa wakati wa uzinduzi wa wilaya ya KIgamboni. Kulingana na taarifa za IPP Magufuli ametoa maelekezo yafuatayo;

View attachment 1355040
Hebu niambieni ndugu zangu, ni mimi tu naona kuna tatizo katika maagizo haya ya raisi au kweli kuna tatizo?
Huyu ndio rais wa kwanza wa Tanzania atakayekamatwa na kufungwa jela
 
Hahaha! I say wakisikia unasema hivyo, there is no way EVER, upinzani utakuja kushinda uchaguzi Tanzania. Wanajua wapinzan wakishinda tu kitu cha kwanza ni kubadilisha katiba na kuruhusu maraisi waliopita kufunguliwa mashitaka na kufikishwa mahakamani!
 
Mkuuu kwani ww ni nani kwa magufuli?
Mie sio shabiki, ila muunga mkono - kwa yale tu ambayo yana logic kama kulinda rasilimali zetu, miundo mbinu nk. Lakini hii crusade yake ya kuendesha nchi kama tunataka kuua vyama vya upinzani na viongozi wao ili tubaki na chama kimoja huwa sikubaliani nae hata kidogo!
 
Hahaha! I say wakisikia unasema hivyo, there is no way EVER, upinzani utakuja kushinda uchaguzi Tanzania. Wanajua wapinzan wakishinda tu kitu cha kwanza ni kubadilisha katiba na kuruhusu maraisi waliopita kufunguliwa mashitaka na kufikishwa mahakamani!
Magufuli atakamatwa hata na Rais wa ccm , ni bora aendelee tu na kampeni yake ya kutawala milele
 
Kama katoa mfano basi anapasa kujitafakari sana katika mifano anayotoa au jinsi anavyoiundia sentensi
Mkuu umenikumbusha mbali sana; somo la Kiswahili kuunda sentensi kwa kutumia Mifano, Nahau, Misemo ama Mipasho...ha ha ha
 
Wewe ndio una tatizo!

Kuna ubaya gani ofisi ya CCM ikijengwa ndani ya hizo ekari 700?!

Wewe ni mpumba.vu. Mtoa mada anazungumzia wizara kurejesha ardhi kwa halmashauri ya wilaya. Maana yake hiyo ni ardhi ya serikali ya wilaya hiyo - kutaka CCM itumie ardhi hiyo kujenga ofisi zake ndio jambo lisilo sahihi!! Tutoke kwenye uchama twende kwenye kufanya mambo yenye faida kwa watu wote!
 
Wewe ndio mbwiga uliyetukuka!

Hizo eka 700 hata Chadema wakiomba plot watapewa siyo CCM pekee......hilo eneo linapimwa viwanja ambavyo vitauzwa kwa yoyote hata wewe au shemeji yako mtauziwa kama mna mapene!
 
Back
Top Bottom