Maagizo kutoka juu ni yale majukumu yanayotimizwa kwa nguvu ya katiba na sheria!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,846
141,768
Mwaka 2019 ukimsikia mtendaji wa serikali anakuambia amepata maagizo kutoka juu ili atekeleze jambo fulani basi elewa huko juu ni kwenye katiba na Sheria.

Maendeleo hayana vyama!
 
Katiba ya Tanzania hairuhusu udikteta wa aina yoyote ile, udhalimu au dhuluma kwa Watanzania.

Hiyo amri toka juu ni sheria inayotokana na ubovu wa katiba, hasa kifungu kinachozuia rais kushitakiwa akiwa au ametoka madarakani.
 
Mwaka 2019 ukimsikia mtendaji wa serikali anakuambia amepata maagizo kutoka juu ili atekeleze jambo fulani basi elewa huko juu ni kwenye katiba na Sheria.

Maendeleo hayana vyama!
Usilazimishe uelewa wako ukawa wa watu wote! Perception yako inabaki kuwa yako japo jambo au hoja ni moja. Kwa maana nyingine usiwamezeshe wengine sumu!
 
Usilazimishe uelewa wako ukawa wa watu wote! Perception yako inabaki kuwa yako japo jambo au hoja ni moja. Kwa maana nyingine usiwamezeshe wengine sumu!
Kwa mfano mtuhumiwa anaporuka dhamana Hakimu lazima atumie maagizo kutoka juu!
 
Kwa mfano mtuhumiwa anaporuka dhamana Hakimu lazima atumie maagizo kutoka juu!
Unatetea ujinga kwa hoja za kijinga na kijinga! Hivi taratibu za kimahakama hapa kwetu no tofauti na za mataifa mengine au ni kwa kuwa mmeamua kuji-isolate kutoka mlikokopa hizo sheria?
Mbowe ni public figure kama alivyo pm na matiko alikuwa nje kikazi na hakimu wenu alielezwa sababu zote hizo na mawakili wao ambao kisheria walitoshea kumtaarifu hakimu ili aahairishe shauri kama ilivyo ada na ndivyo inavyofanyika dunia nzima! Kama aliruka dhamana huku mawakili na wadhamini wakiwa mahakamani na kutoa sababu ni nini kilipelekea hakimu kuhemkwa na kuamua nje ya taratibu? Maagizo kutoka yatokako siyo? Hadi sasa mmepata nini zaidi la laana za Muumba? Elimika kijana na epuka ubendera fuata upepo!
 
Back
Top Bottom