Maafisa wanaoandaa cheki za mafao NSSF Ilala Boma ni majipu

Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
642
Likes
203
Points
60
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
642 203 60
Kwanza nitoe warning kwamba hii tarehe mlonipa leo nikija mkanipa nyingine jua kabisa siku hiyo hatutaelewana maana hamna sababu za msingi zaidi ya uzembe....Meneja wa NSSF Ilala Boma sijui kama unajua na umekubaliana na hao maafisa wako wanaoandaa cheki za watu tunaojitoa...(fao la kujitoa)..

Mimi nilifungua madai tarehe 16.6.2016 wakanambia nije kuchukua cheki tarehe 30.6.2016...Bila kukosa tarehe hiyo nikaja lakini nikaambiwa cheki bado....Wenzangu waliochukua cheki siku hyo nilowauliza kama wanne wakanambia wao wamechukua baada ya kupigwa tarehe mara moja na wengine mara mbili...

Mimi siku hyo pia nilipigwa tarehe hadi 14.7.2016 na nilipouliza sababu nikaambiwa zipo nyingi lakini sikutajiwa hata moja....Leo nimerudi pale nikijua cheki tayari lakini nikaambiwa nirudi 22.7.2016 kisa cheki bado....Lakini nimeambiwa fomu nilijaza vizuri na michango yangu yote ipo....

Wakati naingia pale nimekutana na kaka mmoja yeye anasema anataka kumuona meneja maana kachoka na kupigwa tarehe...Pale mahali pa kusubiria cheki dada mmoja akaniambia yeye alikuja jana walipompiga tarehe hakukubaliana nao na alienda kwa meneja na cheki yake ikaandaliwa na leo kaichukua....

Pia huyu mama chumba namba 13 ana majibu ya ajabu....ukitaka kwenda kwa meneja anasema usiende kwa meneja na badala yake anakutuma kwa mdada anaitwa SIBAO ambao inaonekana washapanga maana hata huyu majibu yake ni ya ajabu...

Meneja wa tawi hili hebu kuwa mkali kidogo maana sisi wateja hii tabia inakera sana....vihela vyenyewe vidogo then vitupigishe jua kiasi hicho...

Ahsante leo mmeniweza ila tarehe 22.6.2016 hatutaelewana aisee.
 
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
642
Likes
203
Points
60
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
642 203 60
Kama mtu kajaza vizuri fomu zote na michango yake yote ipo...wiki mbili hazitoshi kweli?..
Huu ni uzembe...
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,804
Likes
49,902
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,804 49,902 280
NSSF walikuwa wameanza kutoa huduma nzuri sasa sijui wamekuwaje au wanataka kumpima DG mpya
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,873
Likes
8,692
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,873 8,692 280
Kwanza nitoe warning kwamba hii tarehe mlonipa leo nikija mkanipa nyingine jua kabisa siku hiyo hatutaelewana maana hamna sababu za msingi zaidi ya uzembe....Meneja wa NSSF Ilala Boma sijui kama unajua na umekubaliana na hao maafisa wako wanaoandaa cheki za watu tunaojitoa...(fao la kujitoa)..

Mimi nilifungua madai tarehe 16.6.2016 wakanambia nije kuchukua cheki tarehe 30.6.2016...Bila kukosa tarehe hiyo nikaja lakini nikaambiwa cheki bado....Wenzangu waliochukua cheki siku hyo nilowauliza kama wanne wakanambia wao wamechukua baada ya kupigwa tarehe mara moja na wengine mara mbili...

Mimi siku hyo pia nilipigwa tarehe hadi 14.7.2016 na nilipouliza sababu nikaambiwa zipo nyingi lakini sikutajiwa hata moja....Leo nimerudi pale nikijua cheki tayari lakini nikaambiwa nirudi 22.7.2016 kisa cheki bado....Lakini nimeambiwa fomu nilijaza vizuri na michango yangu yote ipo....

Wakati naingia pale nimekutana na kaka mmoja yeye anasema anataka kumuona meneja maana kachoka na kupigwa tarehe...Pale mahali pa kusubiria cheki dada mmoja akaniambia yeye alikuja jana walipompiga tarehe hakukubaliana nao na alienda kwa meneja na cheki yake ikaandaliwa na leo kaichukua....

Pia huyu mama chumba namba 13 ana majibu ya ajabu....ukitaka kwenda kwa meneja anasema usiende kwa meneja na badala yake anakutuma kwa mdada anaitwa SIBAO ambao inaonekana washapanga maana hata huyu majibu yake ni ya ajabu...

Meneja wa tawi hili hebu kuwa mkali kidogo maana sisi wateja hii tabia inakera sana....vihela vyenyewe vidogo then vitupigishe jua kiasi hicho...

Ahsante leo mmeniweza ila tarehe 22.6.2016 hatutaelewana aisee.
Hahaaa wezesha uwezeshwe omba kumwona manager alafu no pm nikusaidie
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,873
Likes
8,692
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,873 8,692 280
Ukiweza ukiendakumwona branch manager mrekodi utanisaidia zaidi
 
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
642
Likes
203
Points
60
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
642 203 60
Mkuu Pdidy yaani hyo ndo hata siku moja sifanyi...
Eti nimuwezeshe.....never....
 
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
642
Likes
203
Points
60
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
642 203 60
Au wanataka kuiga ya ppf!
 
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
642
Likes
203
Points
60
Posho City

Posho City

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
642 203 60
Wakuu...nimeenda leo nssf kama walivyonielekeza na nadhani walisoma uzi huu...Nimekuta cheki yangu tayari na muda huu nipo kwa viti virefu meza imejaa bia za pilsner a.k.a UKAWA zaidi ya 30..just a joke....
Ila kwa ujumla watu karibia kumi kati ya 15 wanalalamikia kupigwa danadana kila siku...

Kulikuwa na muhindi anadai elfu 90 ana zaidi ya miezi 3 wanamzingua...nimeacha kapandisha mori anaongea ghujarati tupu...
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
38,845
Likes
19,413
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
38,845 19,413 280
Wakuu...nimeenda leo nssf kama walivyonielekeza na nadhani walisoma uzi huu...Nimekuta cheki yangu tayari na muda huu nipo kwa viti virefu meza imejaa bia za pilsner a.k.a UKAWA zaidi ya 30..just a joke....
Ila kwa ujumla watu karibia kumi kati ya 15 wanalalamikia kupigwa danadana kila siku...

Kulikuwa na muhindi anadai elfu 90 ana zaidi ya miezi 3 wanamzingua...nimeacha kapandisha mori anaongea ghujarati tupu...
Muhindi anadai pesa kiasi gani?
 
Forum statistics

Threads 1,237,681
Members 475,675
Posts 29,297,127