Maafisa wa Nigeria wamekamata mchele wa plastiki

Nitaamini.mpk.niushuhudie
Mwanzo nilidhan wale wa plastics unatengenezwa kutumia viazi,nw naambiwa kutumia plastics

Weight yake tuu itafanya nishtuke..mbaya zaid plastic haitafuniki kuwa uji uji mdomon..

Achana na wakat wa kupika
 
billgate alikuja na wazo la kubadilisha kinyesi cha mtu kuwa maji safi ya kunywa sasa mchina katuletea mchele wa plastic haloooo na market yao kuu ni AFRICA!
 
Back
Top Bottom