Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Kwa mujibu wa BBC mchele huo unaiva lakini unakuwa mkubwa mkubwa kuliko mchele wa kawaida.
Wakati mwingine vyombo vya habari vya nagharibi uweka chumvi mno au kutaka kuwaribia biashara Wachina.
Plastic ambazo ni byproduct za Petroleum zinawezaje kubadirishwa kuwa chakula?
Sayansi ya wapi hiyo! Zamani Wajapan waliwahi kuipatia Tanzania rice ulikuwa ni tofauti na mchele tulio uzoea ukipikwa ulikuwa inakuwa mkubwa zaidi lakini hilo alimaanishi ulikuwa ni mchele uliotokana wa plastic.