Maafisa utumishi wote wa serikali wanafanya kazi chini ya kiwango wakihofia kutumbuliwa

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
1,000
Ni kweli kwamba maafisa utumishi wote wa serikali ya awamu hii ya tano wanafanya kazi chini ya kiwango kwa hofu ya kufukuzwa kazi hivyo kuzifanya taasisi za serikali kushindwa kufanya kazi zilizokusudiwa mfano kwenye taasisi nyingi za serikali kumekuwepo na ukosefu wa vifaa na rasimali watu lakini hawa maafisa utumishi wanaogopa kupeleka matatizo hayo ngazi za juu za serikali kwa hofu ya kwamba watafukuzwa kazi wakipeleka matatizo hivyo kusababisha sisi wananchi tuumie na kushindwa kupata huduma bora.

Pili watumishi wa umma amepatwa na matatizo mbalimbali mfano kusimamishiwa mishahara bila kosa ,kushindwa kulipwa malimbikizo yao ,kushindwa kupandishwa vyeo nk lakini maafisa utumishi wamekuwa wakikwepa kutatua changamoto hizi kwa kuhofia kutumbuliwa na viongozi wa ngazi za juu.

Tatu, maafisa utumishi wa mahakama zote Tanzania ndiyo wanahofu kuzidi idara zote za utumishi wa umma nchini mfano ,waliwaajiri vijana 485 mwezi June 2016 na kuwapa mikataba yote ya kazi na kuanza kazi na waliwalipa mpaka na pesa za kujikimu lakini wakawarudisha nyumbani ili kupisha zoezi LA uhakiki wa watumishi hewa uhakiki umeisha hata hao vijana hawajarudishwa kazini maafisa utumishi wa mahakama nchini wanaogopa kuwarudisha waajiriwa hawa wao maafisa utumishi wa mahakama wanaogopa kutumbuliwa .
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,550
2,000

Hahah ni lini walishawahi kufanya kazi juu ya Kiwango kwa kutoogopa kutumbuliwa?
 
madhabaunyeusinyeusi

JF-Expert Member
Dec 31, 2016
200
225
Kama Halmashauri ya MVOMERO ni Moja wapo wamekumbatia matatzo ya waajiriwa kwenye ofsi zao na kushindwa kupeleka juu kwa hofu zao kuogopa kudunyuliwa.
 
baiser

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,000
2,000
Ni kweli kwamba maafisa utumishi wote wa serikali ya awamu hii ya tano wanafanya kazi chini ya kiwango kwa hofu ya kufukuzwa kazi hivyo kuzifanya taasisi za serikali kushindwa kufanya kazi zilizokusudiwa mfano kwenye taasisi nyingi za serikali kumekuwepo na ukosefu wa vifaa na rasimali watu lakini hawa maafisa utumishi wanaogopa kupeleka matatizo hayo ngazi za juu za serikali kwa hofu ya kwamba watafukuzwa kazi wakipeleka matatizo hivyo kusababisha sisi wananchi tuumie na kushindwa kupata huduma bora.

Pili watumishi wa umma amepatwa na matatizo mbalimbali mfano kusimamishiwa mishahara bila kosa ,kushindwa kulipwa malimbikizo yao ,kushindwa kupandishwa vyeo nk lakini maafisa utumishi wamekuwa wakikwepa kutatua changamoto hizi kwa kuhofia kutumbuliwa na viongozi wa ngazi za juu.

Tatu, maafisa utumishi wa mahakama zote Tanzania ndiyo wanahofu kuzidi idara zote za utumishi wa umma nchini mfano ,waliwaajiri vijana 485 mwezi June 2016 na kuwapa mikataba yote ya kazi na kuanza kazi na waliwalipa mpaka na pesa za kujikimu lakini wakawarudisha nyumbani ili kupisha zoezi LA uhakiki wa watumishi hewa uhakiki umeisha hata hao vijana hawajarudishwa kazini maafisa utumishi wa mahakama nchini wanaogopa kuwa wakiwarudisha waajiriwa hawa wao maafisa utumishi wa mahakama wanaogopa kutumbuliwa
Criticism and complains zinapunguza morali
 
Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,254
2,000
Ni kweli kwamba maafisa utumishi wote wa serikali ya awamu hii ya tano wanafanya kazi chini ya kiwango kwa hofu ya kufukuzwa kazi hivyo kuzifanya taasisi za serikali kushindwa kufanya kazi zilizokusudiwa mfano kwenye taasisi nyingi za serikali kumekuwepo na ukosefu wa vifaa na rasimali watu lakini hawa maafisa utumishi wanaogopa kupeleka matatizo hayo ngazi za juu za serikali kwa hofu ya kwamba watafukuzwa kazi wakipeleka matatizo hivyo kusababisha sisi wananchi tuumie na kushindwa kupata huduma bora.

Pili watumishi wa umma amepatwa na matatizo mbalimbali mfano kusimamishiwa mishahara bila kosa ,kushindwa kulipwa malimbikizo yao ,kushindwa kupandishwa vyeo nk lakini maafisa utumishi wamekuwa wakikwepa kutatua changamoto hizi kwa kuhofia kutumbuliwa na viongozi wa ngazi za juu.

Tatu, maafisa utumishi wa mahakama zote Tanzania ndiyo wanahofu kuzidi idara zote za utumishi wa umma nchini mfano ,waliwaajiri vijana 485 mwezi June 2016 na kuwapa mikataba yote ya kazi na kuanza kazi na waliwalipa mpaka na pesa za kujikimu lakini wakawarudisha nyumbani ili kupisha zoezi LA uhakiki wa watumishi hewa uhakiki umeisha hata hao vijana hawajarudishwa kazini maafisa utumishi wa mahakama nchini wanaogopa kuwarudisha waajiriwa hawa wao maafisa utumishi wa mahakama wanaogopa kutumbuliwa .
Yaani Serkali hii ndio kiboko kwa Maafisa Utumishi kwani walijiegeuza Mungu Watu!
 
mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
963
1,000
Kweli maofisa utumishi Mahakama wamezd, wakipgiwa cmu na wahanga hawajui lolote, wanasubr kuambiwa au kupewa vibali, hawauliz kweli maana hawana wajualo, kutumbuliwa kumeleta hofu na sio ufanisi wa kazi!
 
babake nasreen

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
699
500
Walimu wakishamaliza syllabus wanalala ni mwendo wakutoa maswali na kupiga mikasi na mitiki hawana shida, subirieni vilaza milion 17 miaka kadhaa maana cku hizi kuna migomo ambayo ni silence Killer
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,135
2,000
Maafisa Utumishi ni balaa, hata uwachokoze vip hawaji mtandaon kujib mapigo, hapa wanasoma na kupita kimia kimia. Hao jamaa wana roho ngumu sijawah ona, sijui wanakulaga viapo vya wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom