Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
- Thread starter
- #41
Kwa maoni yako, hilo tangazo linakidhi kama majibu sahihi kwa mada yangu? Jamani, tuweni wakweli!!! Tuna Manesi,waalimu hata hicho chuo kikuu na loan bodi zako hawavijui, wanahusikaje? Watanzania ni nini kimetupata kwenye bongo zetu?Usiwe mbishi mkuu, mm mwenyewe ni muhanga wa hiyo taarifa uliyotoa. Na hicho nilichokuambia ndicho sababu. Sasa kama unadhani kuna sababu nyingine endelea kusubiri.