Maafisa Mauzo, nafasi 20 Dar Es Salaam. Urgently required

Wiu

Member
Jul 27, 2018
97
102
Habari, mimi nina recruitment agency ndogo ambayo inashugulika na kutafuta nafasi za kazi na kuzileta kwa vijana wahitaji..

HAKUNA UZOEFU UNAOHITAJIKA

Nakuleteeni nafasi 20 za kazi kwa watu wa mauzo, katika kampuni kubwa tu ya vinywaji hapa jijini Dsm.

kama una passion ya kazi ya sales, marketing na elimu unayo basi tuwasiliane mapema leo nikuelekeze wapi pa kwenda kupeleka CV zako kwa ajili ya usaili!
Karibuni.
Phone: 0758085009
 
kila la kheri mkuu ila nakushauri kawaone jamaa ni marketing agent wao wana team kabisa ni kuwapa kazi tu kwa maelewano wanakupa vijana wa kazi mnapiga mzigo
Hizi ni nafasi za kazi mkuu unapewa mkataba!
Hayo mengineyo ni sera za kampuni kufikia malengo!
Wahitaji mnakaribishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, mimi nina recruitment agency ndogo ambayo inashugulika na kutafuta nafasi za kazi na kuzileta kwa vijana wahitaji..

HAKUNA UZOEFU UNAOHITAJIKA

Nakuleteeni nafasi 20 za kazi kwa watu wa mauzo, katika kampuni kubwa tu ya vinywaji hapa jijini Dsm.

kama una passion ya kazi ya sales, marketing na elimu unayo basi tuwasiliane mapema leo nikuelekeze wapi pa kwenda kupeleka CV zako kwa ajili ya usaili!
Karibuni.
Phone: 0758085009
kuna jamaa wakati tumemakiza chuo akaona tangazo la kazi akaomba akapigiwa simu aende kwenye intavyuu,kapiga intavyuu ya sales kapita kesho kaitwa aanze kazi dooh kufika anakabidhiwa lundo la vyombo akauze mtaanzi kwa promotion hahahahhaa jamaa aliwatukana kinoma ye alijua kazi atakua anakaa kwenye kiyoyozi gari ya ofisi na mpunga mrefu kumbe ni kupiga domo mtaani kwa wateja😂😂😂😂
 
Kuna wanao uza solar nayo yanasema wanatafuta vijana wa sales wanalipwa kwa commision, hawa wengine ni viwanja sijui kwa mkopo, Bora magari kwa mkopo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom