Maafisa manispaa arusha

bugzbunny

JF-Expert Member
Mar 9, 2013
838
746
habari kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa kuna baadhi ya maafisa mafisadi wa manispaa ya jiji la arusha wanaohusika na uuzaji wa viwanja vya wazi na kuwafanyia mipango wateja wao hadi kupata hati wamo mbioni katika kuchukuliwa hatua kali, majina yao na nyadhifa zao zitawekwa punde,
Still evolving
 
Nini hatma ya hivyo viwanja? Watarudisha au inakuaje maana wana hati halali za umiliki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom