Maadui walioizunguka Israel wako zaidi ya million 500 ni nini kinachowashinda kuifuta Israel?

Acheni kufuru ,Israel taifa teule la marekani siyo taifa teule la Mungu-----
Through FY2020, the United States has provided Israel with $146 billion in military, economic, and missile defense funding. Adjusted for inflation, this amount is equivalent to $236 billion in 2018 dollars, making Israel the largest cumulative recipient of U.S. assistance since World War II.
 
Jamii forum imasikitisha sana kwa kweli, Israel ata kwenye nchi zenye GDP kubwa 20 hayupo, wala nchi 10 zenye jeshi imara hayupo, Anachofanya hapo Israel anawezeshwa na hao EU pamoja mshirika wao US, hakuna cha Mungu wala shetani ahahahahahaha sasa logic ndogo kama hii inakushinda

Usishindane na wabarikiwa waliolishwa mana na kware jangwani.

Wakati wewe unaongelea GDP wao wanaweza shushiwa masufuria ya pilau, chips mbuzi, kuku na juice na wakala mbele ya macho yako

Hapo ndio utamjua Mungu wa Israel

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…
 
Kuna Mkuu wa kikos cha vifaru wa syria

Aliwah hojiwa, ilikuaje siku ya mwisho ya vita yetu, mkiwa na vifaru zaidi ya mia 300, huku israel ikiwa navyo 7 tu ,mliamua kukimbia???

Alijibu hivi..." Nikiwa najiandaa kuamrisha wanajeshi wangu, Ghafla tulisikia vishindo naiunguro mikubwa mikubwa ambayo hatukuwah kuisikia na kwa miungurumo ile tulihisi ni Silaha Mpya kubwa kubwa ambazo zingetuangamiza.

Alipohojiwa Kamanda wa Israel, yeye alisema ivi
" sikua na njia nyingine, zaidi ya kuamrisha vifaru ivo saba kusonga mbele, nikiamin Mungu yupo pamoja nasi".
 
Waarabu maneno mengi vitengo zero.. fatilia vita ya siku 6 kama hutacheka hadi uugue degedege
Inakuwaje wanajamvi!

Israel kanchi kadogo tu kenye raia million 5 wayahudi ukiondoa milion moja waarabu. Imezungukwa na maadui zaidi ya milion 500wenye chuki kali na kuiombea mabaya na kutamani ifutike.

Kitu gani kinawashinda hata kuvuka mpaka nakuingia Israel nakuifuta. Ni nini jamani?

Ukweli ukisemwa hili ni taifa teule la Mungu wa kweli watu wanakuja juu. Yani ni simple reasoning tu. Leo palestina inaadabishwa wote kimya ni maneno tu na vitisho vibarazani na mtandaoni. Utasikia eti Israel wafanye vita vya man to man mbona wasiingie humo kwenye ardhi takatifu wathubutu?

UKWELI LAZIMA USEMWE TU HATA KAMA UNAUMA ISRAEL NI TAIFA TEULE LA MUNGU WA KWELI.

VITA VYAKE MUNGU NANI ATASHINDA?

FIKIRIA TU TAIFA LA WAYAHUDI MILLION TANO LINAJILINDA ZAIDI YA MAADUI MILION 500.

NDIO HAPO NA AMIN MUNGU WA ISRAEL NDIE MUNGU WA KWELI.
 
Usishindane na wabarikiwa waliolishwa mana na kware jangwani.

Wakati wewe unaongelea GDP wao wanaweza shushiwa masufuria ya pilau, chips mbuzi, kuku na juice na wakala mbele ya macho yako

Hapo ndio utamjua Mungu wa Israel

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…
Mana na kware ni story za pauka pakawa, ndio Zina mitia ujinga mpaka kutafakari hamuwezi tena
 
Nafahamu kuwa Israel inakalia maeneo ambayo Syria inayaita yake ila Biblically ni yao Israel.

Nachokiuliza ni hiyo story ina ukweli General huyo wa Syria anaitwa nani aliyesema hayo?
Iyo story ni ya kweli mkuu. Hao mageneral ni watakatifu huenda hata malaika wanajigeuza na kujichanganya na jeshi takatifu la IDF.

Malyenge RTI Bwanautam Ami na struggle man
 
Sasa kwa mfano

Juzi jeshi la Ardhin la israel lilitangaza Rasim kua linaanzisha mapambano ya Ardhin..wakahakikisha vyombo vya habar vyote vya kimataifa vinalitangaza hilo

Hamasi walivyosikia hayo wakayaamin na kukimbilia kwenye mahandaki yao.

Usiku wa kuamkia Ijumaaa yaaan Alamis usiku wa nane

Israel ikatumia Ndege zipatazo 160 , zilizobeba mabomu 400 , kila bom likiwa na Tan 80

Wakaenda wakayalipua mahandaki ambamo ndan yake kuna wanajeshi wa Hamasi

Oparesheni hiii, wao walilenga ndani ya dakika 35, wawe wameshaua zaidi ya Nusu ya Maadui, na unaambiwa Hamasi wengi wamekufa kwahiyo Opareshen moja tu

Hili Taifa, Liacheni tu, ndio Alama ya Mungu hiyo

Anayeliombea nakulisaidia atabarikiwa.

Anayelionea, Ataumia mwenyewe.
Kichaa mmoja kuendelea kuamini ukiliombea taifa la Israeli unabalikiwa
 
Usishindane na wabarikiwa waliolishwa mana na kware jangwani.

Wakati wewe unaongelea GDP wao wanaweza shushiwa masufuria ya pilau, chips mbuzi, kuku na juice na wakala mbele ya macho yako

Hapo ndio utamjua Mungu wa Israel

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…
Huyo Mungu wa israel peke yake na sio mataifa yote?
 
Inakuwaje wanajamvi!

Israel kanchi kadogo tu kenye raia million 5 wayahudi ukiondoa milion moja waarabu. Imezungukwa na maadui zaidi ya milion 500wenye chuki kali na kuiombea mabaya na kutamani ifutike.

Kitu gani kinawashinda hata kuvuka mpaka nakuingia Israel nakuifuta. Ni nini jamani?

Ukweli ukisemwa hili ni taifa teule la Mungu wa kweli watu wanakuja juu. Yani ni simple reasoning tu. Leo palestina inaadabishwa wote kimya ni maneno tu na vitisho vibarazani na mtandaoni. Utasikia eti Israel wafanye vita vya man to man mbona wasiingie humo kwenye ardhi takatifu wathubutu?

UKWELI LAZIMA USEMWE TU HATA KAMA UNAUMA ISRAEL NI TAIFA TEULE LA MUNGU WA KWELI.

VITA VYAKE MUNGU NANI ATASHINDA?

FIKIRIA TU TAIFA LA WAYAHUDI MILLION TANO LINAJILINDA ZAIDI YA MAADUI MILION 500.

NDIO HAPO NA AMIN MUNGU WA ISRAEL NDIE MUNGU WA KWELI.
Taifa teule sikuzote lazima lishinde
 
Back
Top Bottom