MAADILI YA UALIMU:mwalimu anapogegedwa na mwanafunzi wake.

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
mwalimu na maadili
1.unakuta mwalimu wa primary anagegedwa na jamaa labda wa form 3 ama 4 ama 5.
2.mwalimu wa sekondary anajikabidhi kwa denti hata wa o level hasa hivi viticha vidogovidogo vya dot com,ama kiticha kimetoka chuo(degree holder) kinagegedwa na mwanafunzi wake hata form 5.
JE MAADILI YA UALIMU HAPA YANAENDAJE?ni sawa kuwa na uhusiano wa aina hii?Walimu twendeni kazi.
NB:hata kama ni nadra lakini twende kazi.
 
...we ni ticha wa . Gani?

Ha ha ha ha ha,umenikumbusha mambo ya uticha,Niliwahi fundisha physics form3 na maths form4 mwaka 2009. pia mwaka jana nilifundisha maths form one. nawamisije dents wangu wa form one.
 
"Genye" haina maadili
 
hebu ona kama mwalimu mwenyewe alianza hivi kwenye masomo, unategemea nini?

317989_353553334718075_1729676841_n.jpg
 
mwalimu na maadili
1.unakuta mwalimu wa primary anagegedwa na jamaa labda wa form 3 ama 4 ama 5.
2.mwalimu wa sekondary anajikabidhi kwa denti hata wa o level hasa hivi viticha vidogovidogo vya dot com,ama kiticha kimetoka chuo(degree holder) kinagegedwa na mwanafunzi wake hata form 5.
JE MAADILI YA UALIMU HAPA YANAENDAJE?ni sawa kuwa na uhusiano wa aina hii?Walimu twendeni kazi.
NB:hata kama ni nadra lakini twende kazi.

tatzo wengne ualimu si wito,mtu anaenda kusoma ili apate boom,matokeo yake anagegedwa na mwanafunzi wake,na kwa mtindo huu div 5 hazikomi
 
Ha ha ha ha ha ha.

bado tu mkuu topic haijaisha?

mi kuna dada mmoja hivi kutoka udsm nilimpenda sana wakati alipokuwa field mwaka juzi tu wakati niko form 6. ofcourse alikuwa wa rika langu kabisa!

she was so beautiful, gorgeous and so romantic!

but i didnt start the game..!!!!
 
Ha ha ha ha ha,umenikumbusha mambo ya uticha,Niliwahi fundisha physics form3 na maths form4 mwaka 2009. pia mwaka jana nilifundisha maths form one. nawamisije dents wangu wa form one.

Kumbe una maekspiriensi na mambo hayo...
 
kupenda kwani kuna formula? Kama mwalimu kampenda dent wake poa tu kubwa ni kuzingatia njia zote zinafuatwa mpaka wanafunga ndoa. Au ulikuwa unasemaje mwenzangu?
 
bado tu mkuu topic haijaisha?

mi kuna dada mmoja hivi kutoka udsm nilimpenda sana wakati alipokuwa field mwaka juzi tu wakati niko form 6. ofcourse alikuwa wa rika langu kabisa!

she was so beautiful, gorgeous and so romantic!

but i didnt start the game..!!!!

Uligwaya nini?Chezea uoga,te te te te!
 
Hiyo ni kawaida sana sikuhizi. Nimepata kushuhudia hili nilipokuwa advance shule fulani pale Arusha, Rafiki yangu tuliyekuwa naye PCB alikuwa anatembea na mwalimu wetu wa BAM. Kimbembe kinakuja pale mwalimu anapoingia darasani asubuhi huku mnajua jamaa kabandua usiku basi hata concentration ya masomo inakuwa negative maana fikra zote ni je hivi alikuwa na pozi gani wakati anagegedwa?
 
Back
Top Bottom