Maadili ya fani mbali mbali -tukumbushane , tuelimishane na tuulizane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maadili ya fani mbali mbali -tukumbushane , tuelimishane na tuulizane

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Zing, Aug 1, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Wadau
  kila taaluma zina kitu kinaitwa maadili ya taaluma . iwe ni sheria,uhandisi ICT, udaktari ,uhasibu, uchumi . etc

  Sasa basi tukumbushane tuelimishane baadhi ya code of ethics za taaluma mbali mabli. Napenda kujua pia kama kuna code of ethics ya wanasiasa.

  Naanza


  I. System administrators code of conduct-
  Mdau masha jf aliweka linkkwenye jukwaa la teknolojia ikiongelea mambo haya  Katika kitabu cha software engiineering ( Ian Sommerville 8[SUP]th[/SUP] edition) Pg 34

  II. Profffesional and ethical responsibility of software engineer

  ....

  Sasa wa JF ebu tuelimishane na kuulizana juu ya maadili na msingi ya taluma nyingine kama sheria uhasibu, ujenzi ufundi, ni yapi?

  Na je wanasiasa na watendaji wangezingatia maadili ya taaluma zao au kuyatafsiri maadili ya taaluma zao katika mazingra ya kazi zao zao za kisiasa na kitedaji hali ingekuwaje?


  Nawasilisha kwa wadau mtoe maadili ya fani nyinginezo
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  weledi na miiko yake
   
 3. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2017
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Siasa iko huru na Maadili ila kila jamii inajiwekea kanuni ili kulinda Maadili ya kikatiba ya Nchi husika.
   
Loading...