Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Kuelimisha, kuburudisha, kukosoa, kuhabarisha na kufichua maovu ndani ya jamii ndiyo majukumu makuu ya vyombo vya habari ulimwenguni kote na jamii inavitegemea vyombo hivyo vifanye kazi kwa weledi kwa kuwa inaviamini.
Soma zaidi hapa=> http://www.fikrapevu.com/maadili-kwa-vyombo-vya-habari-ni-muhimu-katika-kuelimisha-umma/