Maadili kwa vyombo vya habari ni muhimu katika kuelimisha umma

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
gazeti.jpg

Kuelimisha, kuburudisha, kukosoa, kuhabarisha na kufichua maovu ndani ya jamii ndiyo majukumu makuu ya vyombo vya habari ulimwenguni kote na jamii inavitegemea vyombo hivyo vifanye kazi kwa weledi kwa kuwa inaviamini.

Soma zaidi hapa=> http://www.fikrapevu.com/maadili-kwa-vyombo-vya-habari-ni-muhimu-katika-kuelimisha-umma/
 
View attachment 363670

Nikweli kwani kila kitokacho katika vyombo vya habari huaminiwa na kupewa kipaumbele na wanajamii, hivyo walaji wa habari wanapaswa kula habari iliyoiva vyema kimaadili
 
Back
Top Bottom