Maadhimisho ya sikukuu ya uhuru wa Tanganyika 09 Desemba 1962

May 22, 2017
35
13
Mungu ibariki Tanzania na Afrika mzima
Watz wote muwe na maadhimisho mema ila swali langu ni je, maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Tanganyika Watanzania tumenufaika nini na serikali yetu?
IMG_20181209_091713_040.jpg
 
Madaraka mikoani
Kuondolewa Kodi ya kichwa
Kuwachagua hao black color watuongoze
Lugha ya kiswahili kukua
Kumiliki simujanja
Kuongezeka fursa za elimu
Chanjo na tiba
Wasafi festivo
Tigo fiesta
.
.
.
.dah ni mengi mno!
 
Back
Top Bottom