Maadhimisho ya siku ya ukimwi KENyA

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
kls-wmk.php
 
mma yangu mzazii..himecheka vibaya sana leo...mwee tafadhale...hahaaaa
 
tafathale wajameni..kabla ya kuweka posti kama hizi muwe mna shunga mathilahi ya mbavu zetu ha haa ha
 
Mbona hicho cha mtoto soma hapa

No Smoking" in Kiswahili.

After public smoking was banned in Kenya , each Town Clerk was assigned the duty of posting notices in Kiswahili to that effect. See how different councils posted their notice: Other councils are still working on theirs.......

The Mombasa Town Clerk wrote:
Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.

The Kiambu Town Clerk:
Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.

The Machakos Town Clerk:
Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana .

The Kisumu Town Clerk:
Attention, Attention!!! Mifuto wa sgara adharani sasa umepigwa marufuku. Ukipaatwa, ibiro yie Kodiaga! Hapana vuruta sigara hapa!!

Wajir Town Clerk:
Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi tagaamata mutu b hahala yaghe kiburuta.

Kericho Town Clerk:
Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa. Haguna!! Charipu wee taona!!!

Kisii and Nyamira Town Clerk
Akuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana mutakura kiboko saa hiyo hiyo. Wote munaombua kujiatari sana .

Other Councils are still working on theirs.......
 
Back
Top Bottom