Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani | Ruanda Mnzomve, Mbeya

Mama LETICIA MAURENCE KAPELA ambaye ni Mwenyekiti wa wanao ishi na Ukimwi ni mfano mzuri sana kwa wanawake Majasiri.
Safi sana mama Leticia....wanawake wwngine fuateni nyayo.
 
Mama LETICIA MAURENCE KAPELA ambaye ni Mwenyekiti wa wanao ishi na Ukimwi ni mfano mzuri sana kwa wanawake Majasiri.
Safi sana mama Leticia....wanawake wwngine fuateni nyayo.
Kweli kabisa huyo ni mwanamke wa mfano.
 
mkuu lile nalo ni soko or magenge yasio na muelekeo
Magenge ni hapohapo sokoni yametulea sisi siwezi kuyadharau
mkuu lile nalo ni soko or magenge yasio na muelekeo
Hamna kitu utakosa mle magengeni,mboga mboga,nyama,samaki kibao tu utawakuta.kulikua na mbuyu pembeni huku ukitaka vitu vya bei chee unaenda huko 500 utaondoka na vitu kibao.
Labda nikuulize Soko kikwenu linamaanisha nini?
Alafu ushafika mle?nisijekua naongea na mtu haijui hata sehemu yenyewe.
 
Back
Top Bottom