Maadhimisho ya siku ya UKIMWI dunia yanatija kwa eneo ulipo.

Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,158
1,227
Kila tarehe mosi disemba Dunia inaadhimisha siku ya UKIMWI lengo ni katika kupeana habari,mbinu za kupambana na janga hili.Napenda kujua kwa kila ulipo suala hili limepewa kipaumbele au watu wamepotezea.
 
Back
Top Bottom