Maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa kwa CCM na kero zake kenye vyombo vya habari vya UMMA

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Kwanza naamini kabisa Wakurugenzi katika taasisi za Utangazaji za UMMA aidha hawajui wajibu wao katika uendeshaji wa vyombo vya umma hapa nnchini.
Nasema hayo kwasababu Mlimani TV na TBC Taifa /TV wamekua ni vinara wa kutuonyesha maadhimisho hyo hadi inakua kero, maana hata radio ya propaganda ya CCM Radio Uhuru wananafuu....
sasa mimi nauliza Je CHADEMA, CUF,DP nk watapewa nafasi ya kiwango hicho katika vyombo hivyo ambavyo ni mali ya UMMA ? ama itaishia kwa CCM...Je bado wanaamini Serilkali ya Tanzania inachama cha Siasa nacho ni CCM ?
 
Hivi Kesho ni mapumziko ? mnaojua nihabarisheni mimi niendelee kukaa bar hapa
 
Masanilo kalale bana, kesho job, maana yake tutadai CUF day tupumzike bure, halafu CHADEMA day, kisha DP day, mwaka mzima kutakua na mapumziko mengi sana na sasa CCJ inakuja.
 
Asante sana ngoja niwahi maskani
 
Inabidi na vyama vya upinzani navyo viombe hiyo coverage wakati wa maadhimisho ya kuzaliwa kwake/kwao hii itasaidia kusitisha suala hili. Kwani watakapokataliwa ndipo unfairness itakapoonekana na itakuwa rejea wakati mwingine.
 
ishu sio kuomba...WANUNUE/WALIPIE uone kama hawatapewa hiyo coverage...!
wenzao wanalipia na wao pia wasiishie kununua tu helikopta wanunue pia airtime kama walivyoweza kuwa na magazeti yao......"AN-NUUR&TZ-DAIMA"
kwenye magazeti yao mbona huwa hatuoni CCM ikipewa fair coverage
 
We have to agree that they differ on fund raising and sources of income, so is when Mr president's promise that he will be fair to opp parties should be exercised.
 
Back
Top Bottom