Maadhimisho ya siku ya kutokomeza utumwa: Takriban watu milioni 40.3 wanakabiliwa na utumwa wa kisasa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,499
9,279
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, amepiga marufuku ajira kwa watoto ambao wapo chini ya miaka 18 ikiwa ni miongoni mwa mambo yanayozuiliwa kwenye sheria za kimataifa kupitia Shirika la Kazi Duniani (International Labour Organization) na Sheria za Ajira nchini

Amewasihi wadau wote hususani wakulima wa Tumbaku kuendelea kupiga vita ajira kwa watoto kwa kuwa ni eneo ambalo limeendelea kulalamikiwa na wadau wengi

Maadhimisho ya siku ya kutokomeza utumwa hufanyika kila Desemba 2 na huonyesha umuhimu wa kutokomeza aina za kisasa za utumwa ikiwa ni pamoja na usafirishaji wa binadamu, unyanyasaji wa kijinsia, ajira kwa watoto, ndoa za kulazimishwa, n.k
-
Takwimu za dunia zinaeleza takriban watu milioni 40.3 wanakabiliwa na utumwa wa kisasa huku asilimia 71 ya watu hao wakiwa ni wanawake


===========================

Today is the International Day for the Abolition of Slavery. “Nobody’s free until everybody’s free” -Fannie Lou Hamer. The focus of this day is on eradicating contemporary forms of slavery

The International Day for the AbolitionofSlavery, 2 December, marks the date of the adoption, by the General Assembly, of the United Nations Convention for the Suppression of the Traffic in Persons and of the Exploitation of the Prostitution of Others.

Today is Int. Day for the AbolitionofSlavery yet there is an est 40.3 m. ppl trapped in modern-day slavery, of which 71% are female. Help prevent women from being exploited by keeping girls in school. Buy a girl a school bag that will keep her in school:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom